Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mimi binafsi ninaendelea kuwa upande wa Adrian, niliona save moja alifanya ya kupangua kwa mkono nikakukumbuka. Tuliwahi kumjadili kipindi fulani hivi.

Adrian tulimsajili aje awe kipa namba 2, alipigiwa simu akiwa nyumbani, hana timu. Niliangalia performance yake ya msimu mzima na ukichukulia tulikomtoa na tunachomlipa, ninaamini amevuka matarajiyo.

Kwa level Liverpool ilikofikia, siyo timu ya kwenda kutafuta wachezaji wasio na timu kuja kuwa backups.

Hiki ndicho pia umekuwa ukikiandika kuhusu watu wanasema tusisajili world class players eti watakaa benchi. Tunahitaji kuwa na kikosi chenye quality benchi.

Of course sina shida na Adrian kwa game ya Jana coz nilikwisha uona uwezo wake since mwanzo wa msimu that's why ninakosoa kiujumla na sio only one game.

But hiyo paragraph yako ya mwisho
 
Jurgen Klopp believes Atletico Madrid should play “proper football” instead of relying on counterattacks after they eliminated his Liverpool team from the Champions League on Wednesday.

I am completely happy with the performance. It’s so difficult to play a side like this,” he told BT Sport .

"I don’t understand with the quality they have the football they play. They could play proper football but they stand deep and have counterattacks.

"We accept it of course but it doesn’t feel right tonight. I realise I am a really bad loser, especially when the boys put such an effort in against world class players on the other side who defend with two rows of four.

"We know in the last two years we had some lucky moments in the Champions League, you have to, to reach two finals, but today it was everything was against us in the decisive moments."

He added: "For the score to go 2-1 was not cool, it was a blow but it's not a big problem. The second goal was a bigger problem.

"After the second goal the legs were a bit tired. Everything that looked really natural in the first 90 minutes became a bit stiff. The crosses did not have the same quality We wanted the first time crosses like for the first goal, which was brilliant and the boys forget to do that.”

KLAPP IS A SORE LOSER!!! He should say that again without crying 😢
 
Nyie Ronaldo wenu nani? Au ndo Takumi Minamino aka Corona virus
dc7c0596-77e0-4de0-8b4c-252bd34849d0.jpg



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Of course sina shida na Adrian kwa game ya Jana coz nilikwisha uona uwezo wake since mwanzo wa msimu that's why ninakosoa kiujumla na sio only one game.

But hiyo paragraph yako ya mwisho
hivi nyinyi watu kwanini mna roho mbaya na ya uonevu kiasi hicho???
kwanini mnapenda kuwaangushia watu jumba bovu ilimradi kulinda muwapendao?
magoli yote matatu ni uzembe wa mabeki wakiongozwa na untouchable VVD jamaa limeflop limebakia nywele tu, yaani afadhali ya Said Juma Makapu...
magoli yote mfungaji anapiga katika msitu wa mabeki, mabeki watatu wanageuzwa kama bigmachapati anavyogeuza chapati zake.
poor you loser

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Allison hakwenda likizo yeye alikua anajifua.
Sikuwahi kuwazia hata siku moja tungemaliza ligi bila kufungwa, me kinachonishangaza ni kwa nini tangu tumetoka winter break tumepoteana wakati wenzetu wameimarika. Hata game ambazo tumeshinda basi ni kwa tabu sana. Na trend ikiwa hivihivi basi ni majanga na aibu. Wachezaji walorudi break na kiwango chao ni Allison na Gomez tu, hii front 3 wala siwaelewi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom