Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_7980.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
League itaendelea baada ya April 3
Wamehairisha sherehe zetu lkn ubingwa upo pale pale
Liverpool HALISI tuzidi shikamana,tupo pazuri
 
Korona imeleta majanga kwenye burudani, Mechi zote za UEFA, EFL, EPL, Serie A na La liga zahairishwa hadi April 4. Nani ajuaye baada ya hapo tutasikia Ligi imesitishwa na Serikali ili kutoa fursa kwa serikali kupambana na maambukizi ya Korona
 
Breaking News

The Premier league board are reportedly going to issue Liverpool a certificate of participation instead of the trophy as the league is expected to be canceled due to Coronavirus

More details to follow soon
IMG-20200314-WA0022.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
In everything in life give thanks, because some todays disappointment can turn to be blessings in the near future...

It's all about perception, whining what went wrong jana won't make us better rather than improving on what failed to win us the game and improving our weak bench...

We lost to Real and came back the next season with solutions to what failed us... Now we go back to the drawing board...

YNWA
Hahaha Sema mulipanga msimu huu mubebe eufa na EPL kitu ambacho ni kichekesho hahaha ..

Sema nini komaeni na EPL maana yanaweza yakawakuta pia uko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uko sahihi, mimi pia sisemi Adrian hajafanya kosa, ila ninachosema ni kwamba sio sahihi kumtwisha zigo lote yeye peke yake!


alikuepo Ali mechi na westham, tukaruhusu goli 2, ikaja kwa watford 3, ila leo kosa la Adrian tena nje ya muda wa kawaida ndio iwe kesi? hapana!


mimi sio muumini wa ku-single out mchezaji mmoja kwa udhaifu wa timu nzima!,,,, Stev mwenyewe alitunyima ubingwa kwa kuslip, iwe Adrian leo?.


All in all, msimu huu kwangu umekua bora sana kuliko misimu yote niliyowahi kuishuhudia liver, Ep inarudi nyumbani........ tumechekwa sana!
Adriana alikuwa na stress baad ya kufungwa goli la kizembe na Willian wa Chelsea..

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SKY SPORT NEWS


Emergency PL meeting on Thursday to discuss what happens next. West Ham vice-chairman Karren Brady says in The Sun: “The only fair and reasonable thing to do is declare the whole season null and void. A huge blow to Liverpool who might be robbed of their first title for 30 years”
 
Wakuu wa loser fools poleni naona hii Curuna Virus ooops COVID-19? Yes Coronavirus imeleta mambo ambayo kwa kweli kama wahenga walivyochema ''ng'ombe wa masikini hazai, akizaa mtoto anakufa'' Yaani after 30 years mnataka kutuletea certificate of participation? Haikubaliki, wapi tukakate rufaa? Pengine kwa Judge Mfawidhi, hatutakubali hii ni njama iliyopangwa na kusukwa na Manure wakishirikiana na Gunners ili tuendeleze uhaba wa miaka 30 na ushee yaani tusibebe EPL tangu ilipozaliwa. Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding dong.
 
Wanangu wa Liverpool mtakubali huu ujinga?

"As games in both the PL and in the EFL are affected, the only fair and reasonable thing to do is declare the whole season null and void."
IMG_20200314_133143_117.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom