Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Baada ya game ya kwanza Klopp alijitetea oh atl wana mpira mbovu njoeni anfield tuwaonyeshe nguvu ya uwanja wetu blah blah kibao El Cholo akauchuna tu.
Screenshot_20200312-014705-01.jpeg
 
Simply the lucky wasn't on ur favour, hata akilaumiwa Adrian hayo makosa kayafanya during extra time.... In reality how many goals zimekoswa au kuwa saved during 90 minutes??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We gave away the game cheaply

Leading 2-0, and keeper making hush decisions

Maybe we deserve to be out

Ili uweze kushinda uefa lazima uwe na wachezaji wenye uwezo sio mtu kama adrian,lileboko alilolitoa atabadilisha kila kitu .

Ila hiyo itakuwa funzo kwa klopp na kwa team nunua wachezaji wenye uwezo ,iliuweze kushindana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Liverpool HALISI hamna haja ya kutukana team,waacheni Liverpool MASLAHI waendelee kutukana team!
Tulikuwa na msimu mzuri sana na tumechukua EPL.
Sasa tuanze maandalizi ya sherehe yetu inafanyikia wapi na lini


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ili uweze kushinda uefa lazima uwe na wachezaji wenye uwezo sio mtu kama adrian,lileboko alilolitoa atabadilisha kila kitu .

Ila hiyo itakuwa funzo kwa klopp na kwa team nunua wachezaji wenye uwezo ,iliuweze kushindana.


Sent from my iPhone using JamiiForums

Adrian kacheza mechi nyingi vizuri kuliko vibaya,hata super cup alitupa yy!
Kwa sasa anapitia tu kwenye kuwa na form mbaya,tumuunge mkono tusimbagaze


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dah! Kweli Mungu ni mwema

Nilisema mengi kuhusu Adrian nikapingwa lakini leo kawa Exposed.

Nasubiri waliokimbia Uzi muda huu wakija hapa asubuhi au Mchana watakuja na vijisababu vya kutengeneza vingi vya kumtetea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom