Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Point nzuri sana kwa hii post ya kiuungwana uhai wa mtu ni muhimu toka moyoni nawaombea liverpool mchukue ubingwa tu
Kabisa ndugu hili janga linatisha kwa kasi hii upo uwezekano Euro 2020 kutofanyika ama hata EPL kutomalizika kwa wakati hii yote ni kuepesha vifo na maambukizi zaidi...

Mpaka sasa Arsenal, Chelsea, Manchester City, Leicester huu ugonjwa umewagusa, hivyo ni muda tu utasikia na kwingine... We forbid kwa kweli..

Hiki kirusi hakichagui maskini wala tajiri, Leo hii mke wa Waziri Mkuu Wa Canada amegundulika ni mgonjwa na upo uwezekano alipata virusi hivyo akiwa Uingereza wiki iliyopita.. Hayo na mengine ya natoa picha namna ya hatari tuedako,..

Hispania, USA, Italia wamesimamisha shughuli zote za kimchezo kwa sasa.

Waziri Mkuu Boris anasema bado Uingereza haijapata maambukizi ya kuwa fanya EPL isimame, hivyo sasa wanaongeza juhudi kwenye ku contain corona kuenea zaidi..

Otherwise hongera kwa ushindi mnono wa jana aisee...

YNWA
 
WHAT WILL COME OUT OF PL MEETING?

The Premier League is holding a meeting with club representatives this morning to discuss the future of fixtures.

Arsenal head coach Mikel Arteta and Chelsea winger Callum Hudson-Odoi have tested positive for coronvarirus, prompting both squads to go into full self-isolation.

Three Leicester players have shown symptoms of the virus and are now self-isolating, says manager Brendan Rodgers.

Manchester City left-back Benjamin Mendy is also self-isolating after a family member started showing symptoms.

YNWA
 
Kama mechi ya watford tungeahinda basi nahii tungeshinda kweli kama unavyosema

Acheni kumnyanyapaa Andriani makosa yapo pande zote
kufungwa kupo mkuu...hata kipa awe bora vipi atafungwa tu, kinacho matter ni je, anafungwaje?.. goli la kwanza alilofungwa Adrian amefungwa kutokana na uzembe wake..asingetoa lile boko wala lile goli lisingepatikana kiahisi hivyo, kingine lazma tukubali kwamba uwezo wa A.Becker ni mkubwa kuliko wa Adrian.

Adrian siku ile alikua pazia tu na ndio aliyewaangusha siku ile trust me..kule mbele walipambana mpaka wakapata goli la kuongoza..huku nyuma ndio palipowaangusha..kipa mlikua hamna.
 
Ukilinganisha kwa hivyo unakosea sana hivi mpira uliopigwa dhidi ya ATM unaweza linganisha na mpira uliopigwa dhidi ya Watford? Aisee wengine mpira mnautazamaje? Mbona fowadi, mido na beki walicheza vyema tu wala huwezi linganisha hata kidogo na walivyocheza dhidi ya Watford,
 
  • Thanks
Reactions: ywf

Jumlisha na malipo yake kwa kiwango chake sioni kama anastahili lawama.

Kama asingerushiwa ule mpira asingetoa boko vilevile alienasa ule mpira aliokokota kambla ya kumpaaia mfungaji mabeki walikua wapi?

Kumbuka boko katoa moja hizi goli zingine je mechi ingeiaha dakika tiaini kama washambuliaji wangekua makini ukumbuke hilo
 
Waliocheza vyema wameshinda 3 sie 2
 
Korona imeleta majanga kwenye burudani, Mechi zote za UEFA, EFL, EPL, Serie A na La liga zahairishwa hadi April 4. Nani ajuaye baada ya hapo tutasikia Ligi imesitishwa na Serikali ili kutoa fursa kwa serikali kupambana na maambukizi ya Korona
 
Jumlisha na malipo yake kwa kiwango chake sioni kama anastahili lawama.

Kama asingerushiwa ule mpira asingetoa boko vilevile alienasa ule mpira aliokokota kambla ya kumpaaia mfungaji mabeki walikua wapi?

Kumbuka boko katoa moja hizi goli zingine je mechi ingeiaha dakika tiaini kama washambuliaji wangekua makini ukumbuke hilo
Mkuu lile boko huwezi kuwalaumu mabeki haa kidogo...aliyepokea ile boko J. Felix (kama sijakosea)..alitoa assist haraka mabeki walijaribu kumzuia mfungaji vizuri ndio maana uliona mfungaji wakati anapiga mpira alikua under presha ya kunyanganywa mpira na beki, nafkiri hiyo ndio sababu pia iliyomfanya asisogelee goli karibu zaidi nakuamua ku shoot distance ile

Kama uliangalia vizuri replay ya lile golli nafkri uligundua kwamba kipa yakunyoosha mbavu (kuurukia) vizuri..ipo kama alisita hivi kufanya maamuzi..hata magoli mengine aliyofungwa mimi naamini angekuwepo A.Becker asingefungwa kirahisi vile.

Kuhusu kupata matokea kabla ya dkk 90 kuisha, ukisema ni uzembe wa mafoward utakua unakosea sana mkuu..ni kama haukuona jitihada za kutafuta goli zilizokuwa zinafannywa na timu nzima?..na hapo kumbuka ATM walikua wanadefense almost timu nzima ilikua nyuma kukaba..hata barca sizani kama mlishambulia vile au wewe unaona yale mashambulizi yalikosa nini mpaka mkashindwa kupata matokeo kabla ya dkk 90?...ulitaka liver washambuliaje ili wapete goli mapema?
 
The FA, Premier League, EFL and Barclays FA Women’s Super League and FA Women’s Championship have collectively agreed to postpone the professional game in England until 3 April at the earliest.

The postponements include all matches in the Premier League, Championship, League One and League Two, as well as all Academy and youth team fixtures.
 
Timu nzimaa inadefese hafu inakufunga tatu nyumbani basi benchi la ufundi litakua na shida mahala.

Tupigwe tatu nyumbani hafu useme Adrian na aliecheza penalt ya Chelsea tukapata kombe ni nani?

Makosa kwenye mpira ni kawaida
 
The FA, Premier League, EFL and Barclays FA Women’s Super League and FA Women’s Championship have collectively agreed to postpone the professional game in England until 3 April at the earliest.

The postponements include all matches in the Premier League, Championship, League One and League Two, as well as all Academy and youth team fixtures.

Yote haya kayataka Arteta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom