Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Upo sahihi ndugu King pale mbele ipo shinda kubwa kwa sasa kwa wote watatu.. Ni kweli wanafunga sana tu ila sasa consistency haipo kabisa na sitarajii kwamba watakua bora zaidi ya hivi mbali natarajia Klopp aingie sokoni alete suluhisho aidha amlete Werner ama atuletee proper namba 9 hii false 9 ya Bobby is damn tired and losing touch to score, I mean bila kuangalia ubora wa Obalak jana hii game ilikua yetu ndani ya dakika 90 tumeimaliza endapo kungekua na real poacher pale mbele...

Haijalishi kama tutabaki na hawa front 3 wetu msimu ujao lazima Klopp alete mfungaji mmoja na AM mmoja real baller wa kupiga penetrative passes kufungua hizi coal parked trains kama jana.. Lol i miss Fekir magical touch hatuna such a wizard in our team and its has costed us lack of goals...

When it's comes to real delivery hakuna untouchables jana Salah and Co who we praise and sing thier names failed us when we needed them most... Its could have been better if Klopp emulated his masterpiece selection vs Catalans perhaps results would have been different...just perhaps.......

Sometimes losing can be a good thing if viewed in the right perception... We lost vs Real and we brought in game charger and winner Allison... So now that we have lost to Alet hope Klopp will find us 3 players we miss very much this season and push us to the next to the next level...

Salute Ox and Gini they gave thier all..

YNWA
 
Sio hata uefa, hata europa hawatakuepo, tunajua wazee wa kulia lia,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: ywf
Mkuu bila shaka Klopp na Edwards hili wameliona haikumbaliki kupiga shot zote zile aafu tuishie kutolewa tena Anfield fortress ni noma mno....

Tunawa appreciate sana wachezaji wetu kwa juhudi zao msimu huu na wakati wote ule na pia tukumbaliane hawa pia ni binadamu hivyo watachoka, kiwango hushuka nk sasa ni wakati mwafaka kuongeza damu changa kikosini kuja kuwa challenge na kutufanya bora kabisa...

Adrian alichemka ndio lakini kule mbele walipewa service ya kutosha mno klosi, kona nk zilikua za uhakika sana...

Our front 3 costed us this tie...

YNWA
 
Salah wa mwaka juzi angewapiga Atletico hata bao 3 peke yake...

Mane alikuwa anajaribu acrobatic kwenye game kubwa kama hii?
 
Umuhimu WA Allison Becker umeonekana ..
Mfano Atletico ndo wangekuwa na Adrian na Sisi tuna oblack au Allison..tungewapiga hata 5 -0
 
Salah wa mwaka juzi angewapiga Atletico hata bao 3 peke yake...

Mane alikuwa anajaribu acrobatic kwenye game kubwa kama hii?
Tena twice acrobatic duh ila hawa jamaa(Salah na Mane) wanajiamini mno na siwashangai maana wanajua tuna benchi dhaifu hakuna wa kuwa weka benchi ila naamini pale banchi kungekua kumesheheni wachezaji wa kueleweka nje hawa jamaa wangekua more clinical zaidi ya hivi...

Inabidi kusajili ndugu ili kuwe na ushindani wa ushindi na si kingine...

Competition will bring the best out of this squad...

YNWA
 
Mane sahivi kutuliza shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liverpool wewe ndo ulikuwa na uwakika zaidi wa kufika mbali uefa kutokana na kikosi kilivyokuwa ..wengi tulijua mungefanya maajabu kama Man city walivyobeba baki to baki EPL lakini mumekuja kuwa walezi wa wanna munazingua kinoma..

Uefa msimu uu aitaenda England..

Labda Chelsea tunaeza fanya maajabu..

Bayern 0 - 4 Chelsea..

Ninyi kwa sasa kaeni kwa kutulia..

Pambaneni na EPL maana mikakati bado inaendelea..

#CFC[emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…