Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Baadhi ya Vitu ambavyo vinatia mashaka kuhusu source ya hizi Ranking kama ni kweli zinatoka FIFA ni:-

1) Ederson ahead of Oblak?
2) Dani Alves???? He's Veteran now.
3) Zincheko?
4) Fabinho attacking Mid? Since when?
5) No Ronaldo in Top 10 foward?
Mkuu me pia baad ya kumuona walker bas nikaingiwa na mashaka
 
Liverpool HALISI tuanze sasa maandalizi ya kushangilia EPL yetu
Tulibezwa sana hadi kuambiwa Klopp kuchukua EPL mbele ya Pep labda akaliibe kombe
Tulibezwa kuwa Man City ana kikosi kipana sana,anatoka mtu anaingia mtu
Tulibezwa sana kama Captain Hendo hawezi cheza team yyt EPL
Naomba mni add whatsap kama kuna group la wana Liverpool halisi,sio Liverpool feki walio kuwa wanatukana team wkt Klopp anaijenga
Una haki aisee

Klopp katukanwa sana wakati anaijenga Liverpool
 
Itajuwa fake news.

Ila hata FIFA kuna muda wanachakachua vikosi, mfano mwaka jana Ramos ilibidi awekwe mbili ili kumu-accomodate baada ya VVD kushikilia namba 5

Huu Mtindo wa kuaccomodate wachezaji uliasisiwa na Timu za EPL.

Kumbuka Gomez last season alipohamishiwa namba 2 na TAA kuekwa bench ikiwemo game vs Manure pale OT mpaka Gomez akaumia ili tu kumuaccomodate Lovren acheze CB.

Now Mpaka FIFA sasa wanaingia kwenye huu Mtego.
 
Hizi Media na baadhi ya Wachambuzi uchwara wanaogaiwa Airtime ndiyo wanaofanya baadhi ya Wachezaji wawe wanachukiwa.

- Ivi Sterling ni kweli average player kiasi ya kwamba hakuna Media ya Kiengereza yeyote inayomuona?
- Kweli anachokifanya Gomez hakionekani pale EPL?
- Kweli KDB anapewa sifa anayostahili? Hivi Media za Kiengereza hazimuoni kwa kile anachokifanya?

Ukweli usiofichika kwasasa KDB ni Ballon D'or contender kama haki itatendeka! Na Obviously ni EPL player of the season.

But cha kushangaza kila Media unayopita unakutana na Picha ya Hendo yenye maneno "He's so close to be a player of the season",..... " Best Midfielder at this current season "..... "He's a complete Midfielder"...... " He carries Liverpool at his own shoulders "..... " Best Captain Ever to lead Liverpool "...... The key of Liverpool's success".....

Yani anapewa sifa zaidi ya uwezo wake.
 
tukiweka unafiki kando, hata pale liver wote wakiwa fit hendo anaweza kaa bench!...... yes, msimu huu ameongeza sana kiwango ila still ni average player......

asingekua mwingereza sidhan kama kungekua na mjadala!
 
Una haki aisee

Klopp katukanwa sana wakati anaijenga Liverpool
Hujui hayo matusi ndo yalo msaidia kuimarisha kikosi?

Anafanyia kazi makosa yake ndo unaona mafanikio sasa.
Asikosolewe yeye sio binadam?

Nnacho kumbuka tangu aje.Pepe Ljender utulivu ukaongezeka inaonyesha wazi kua anafanyia kazi mawazo m badala pia.

Huyo jamaa yupo pekeake humu kama unataka tukujumlishe nae karibu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi Media na baadhi ya Wachambuzi uchwara wanaogaiwa Airtime ndiyo wanaofanya baadhi ya Wachezaji wawe wanachukiwa.

- Ivi Sterling ni kweli average player kiasi ya kwamba hakuna Media ya Kiengereza yeyote inayomuona?
- Kweli anachokifanya Gomez hakionekani pale EPL?
- Kweli KDB anapewa sifa anayostahili? Hivi Media za Kiengereza hazimuoni kwa kile anachokifanya?

Ukweli usiofichika kwasasa KDB ni Ballon D'or contender kama haki itatendeka! Na Obviously ni EPL player of the season.

But cha kushangaza kila Media unayopita unakutana na Picha ya Hendo yenye maneno "He's so close to be a player of the season",..... " Best Midfielder at this current season "..... "He's a complete Midfielder"...... " He carries Liverpool at his own shoulders "..... " Best Captain Ever to lead Liverpool "...... The key of Liverpool's success".....

Yani anapewa sifa zaidi ya uwezo wake.
Mkuu umejenga hoja nzuri sana hapa
Unajua watu tukiongea sana tunaonekana tuna chuki na Hendo lkn ukwel ni kwamba Hendo ni anapaishwa kupita uwezo wake
 
Una haki aisee

Klopp katukanwa sana wakati anaijenga Liverpool
Haha

Dah mkuu Aron
Kwahiyo kitendo cha klopp kumuweka FABINHO nje na kumchezesha HENDO DM almost msimu mzima ww kama mtu wa mpira ulikuwa unakichukuliaje na Klopp ulikuwa unamchukuliaje??? na at the same time watu waliliona hili kuwa klopp alikuwa anazingua kumchezesha HENDO hiyo role lkn alikuja kuamini muda ushatupiga mkono mkuu kwel mpk hili Klopp yey ni nani asilaumiwe ??
 
Ilikua;
Haamini katika usajili zaidi zaidi kwenye mazoezi.
Uhalisia: ujio wa VVD ALI SALAH FABY ROBBO GINI ADRIAN KEITA SHAQIRI kupanda kwa TAA ndio umetufanya tuwe hapa.

Hendo anazaidi ya 8 yrs lfc hatukuwahi kua na ubora wa sasa tena akiwa kijana kiumri iweje itokee yeye ndiye atubebe umri ukiwa umeenda, kwa kiwango cha kupewa headline ahead of mtu kama KDB,?
Wanasema player of the season mbona ndani(timu) na nje (ligi) hawampi hata player of the month.

Sote tunakubali hendo yupo kwenye kiwango bora sana kwenye maisha yake ya soka ila anakua more overrated, hatusikii Gomes, Beckor, Firmino kina kdb madison wakipewa hizi heko.
Player of season kupewa hendo ni ngumu sana.

All in all we are liverpool lets enjoy success we have till now.

YNWA

Wow forgotten hero Adrian lol... This boy gave us what we couldn't get from useless Simon and Karius...

He deserves a proper shout out end of this season... From being Club less to come and cover for super Alisson without letting us down was a big big step for him..

Most likely he will depart for 1st team regular game time most likely in Spain, indeed its a win win situation we got a proper backup and we have given him a chance to restart his career...

YNWA
 
Una haki aisee

Klopp katukanwa sana wakati anaijenga Liverpool
Wewe ulikuwepo hapa mkuu
Sasa wake wale waliokuwa wanatukana team leo hii wao ndiyo wanashangilia kweli kweli!
Hao sio Liverpool ni wachumia tumbo tu wa soka
Hatutawaalika ktk sherehe zetu,maana hao ni Man City
Wanamkimbia leo Mungu-Mtu wao wa soka sababu Klopp kamnyoosha mno
Mkuu Aaron Arsenal karibu kwenye sherehe yetu Dar
 
Haha

Dah mkuu Aron
Kwahiyo kitendo cha klopp kumuweka FABINHO nje na kumchezesha HENDO DM almost msimu mzima ww kama mtu wa mpira ulikuwa unakichukuliaje na Klopp ulikuwa unamchukuliaje??? na at the same time watu waliliona hili kuwa klopp alikuwa anazingua kumchezesha HENDO hiyo role lkn alikuja kuamini muda ushatupiga mkono mkuu kwel mpk hili Klopp yey ni nani asilaumiwe ??
Mkuu ww unaweza ukampinga Klopp akiweka mipango yake ya nani acheze wapi?
Una utaalam huo kwenye soka?
 
Hizi Media na baadhi ya Wachambuzi uchwara wanaogaiwa Airtime ndiyo wanaofanya baadhi ya Wachezaji wawe wanachukiwa.

- Ivi Sterling ni kweli average player kiasi ya kwamba hakuna Media ya Kiengereza yeyote inayomuona?
- Kweli anachokifanya Gomez hakionekani pale EPL?
- Kweli KDB anapewa sifa anayostahili? Hivi Media za Kiengereza hazimuoni kwa kile anachokifanya?

Ukweli usiofichika kwasasa KDB ni Ballon D'or contender kama haki itatendeka! Na Obviously ni EPL player of the season.

But cha kushangaza kila Media unayopita unakutana na Picha ya Hendo yenye maneno "He's so close to be a player of the season",..... " Best Midfielder at this current season "..... "He's a complete Midfielder"...... " He carries Liverpool at his own shoulders "..... " Best Captain Ever to lead Liverpool "...... The key of Liverpool's success".....

Yani anapewa sifa zaidi ya uwezo wake.
You are a hater of henderson period.

Na ameumia nahic unaficha hisia zako za furaha .zimwage tu hadharan tuzione

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umejenga hoja nzuri sana hapa
Unajua watu tukiongea sana tunaonekana tuna chuki na Hendo lkn ukwel ni kwamba Hendo ni anapaishwa kupita uwezo wake
Hv kuna mtu anaongoza kwa kutukanwa pale liver kama henderson hata tukifukua message za zaman kwenye hili jukwaa nadhan yy ndo anaongoza kwa kupondwa na mashabik wake hilo had mashabik wa timu nyingine wanalijua .cha kushangaza ww unasema anapaishwa
"leave the man alone" .ananyanyua kwapa mwez wa 5 achen kelele tushawachoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana. Tufanyeje ili kujiunga?
Ni wakati wa kuipa Liverpool heshima nyingi wanazostahiki kwa uwezo wao wa msimu huu, huku tukisubiri kuona rekodi zinazovunjwa na kuweka rekodi zao kila wikiendi.

Wana Liverpool tanzania nzima tumeamua kufanya sherehe shangwe na nderemo kusherehekea ubingwa huu wa kihistoria hasa pale tutakapo vunja vunja record zote zawapinzani Wetu

Shime wana Liverpool kuazimia kwa pamoja kufanya sherehe hizi kilele chake zitakua sanjari na Siku ya kukabidhiwa kombe LA, EPL

Sherehe hiz kilele chake zitafanyika jijini dar resalam

Wilaya ya kinondoni Kijitonyama kwenye uwanja wa wazi

Sehemu ambayo itapambwa na mabendera na mapicha ya Liverpool pamoja na kuwapandisha stejini wasanii kadha wakadha ambao ni makop wenzetu Tanzania nzima
kula na kunywa kwapamoja

Tukio ambalo litatanguliwa uchangiaji wa damu salama

Kutembelea magereza kwandugu zetu

Kutoa misaada kwa vituo vya watoto mayatima

Kufanya kazi zakijamii nakadhalika

Hakika itakua nisiku ya shamra shamra kwa wana Liverpool wote

Tupo tunapambana kujua na kufanya mikoa yote ya Tanzania

Lengo nikuboresha udugu mshikamano na kuitangaza TANZANIA NA LIVERPOOL KWA UJUMLA

YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are a hater of henderson period.

Na ameumia nahic unaficha hisia zako za furaha .zimwage tu hadharan tuzione

Sent using Jamii Forums mobile app

You're not in a position to judge me kwamba I hate Henderson or not! How can I suppose to hate someone who earn £140K per week?
I've nothing to do with his life kijana.
Criticism is not hating, learn to deferentiate mambo.
Ni very very very narrow minded kuanza kudeal na watu humu JF instead posting you own analyst kwa Timu.
Hata kama hukunijibu Mimi unadhani ungepungukiwa na nini?

Be positive Kijana life is very easy kama utakuwa una positive attitude.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom