Kubwa jinga hili tusi chalenge fikra zetu ili tubaki akili mgando kama yeyeMzee baba naona umerusha mateke![]()
![]()
Ha ha haaa ni kweli mkuu sijamjua vyema ila sijakuelewa unapo mlinganisha na kina Hendohaumjui vizuri timo kwa sababu milliner na Henderson wana vipaji kumzidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kama Sancho unamlinganisha na Salalah wa Usukumani!Makocha nao ni binadam hakosi mapungufu kuna watu hawataki wakosolewe.
Tumebeba Minamino anasubiliwa afiti kwenye team tumemuacha Haland ambae ni tishio ulaya.
Sasa hivi tunatajiwa Timo ambae kwa mechi ya jana namuona ni mchezaji anaejitegega vizuri golini na kubebwa na mfumo nafasi anazo pata anafunga chache wener hamfikii Salah hata punje kwa hili hafai kuja.
Kwa nilivyo muona Sancho ni bunge lamchezaji mwenye kipaji huyu kikosi cha kwanza moja kwa moja kama mshabiki ukinambia nichague Sancho na Salah nachagua Sancho kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubwa jinga hili tusi chalenge fikra zetu ili tubaki akili mgando kama yeye
Sent using Jamii Forums mobile app

Koke; "Yes we know in the past they have overturned deficits, Barcelona comes to mind. But we are not Barcelona and we are used to such games, you can intimidate small boys with stories of ghosts and the dark, we are not small boys. We won't be moved by Anfield, we go to qualify and hopefully after 90 minutes it will be that way."
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na vibaraka wako hamjui lolote kuhusu sokaKaa kimya sikua nikibishana na mtu.
Utani m baya kwani nimekushika matako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umechanganyikiwa kwa kombe la epl nini? inaonesha ni kwa namna gani tokea uzaliwe ujawahi kushudia Liverpool wanashinda kombe la epl. Hongera Klopp umeokoa wengine kuandika historia kwa watu wengine.Wewe na vibaraka wako hamjui lolote kuhusu soka
Vipi Klopp kuchukua EPL hadi Mungu-Mtu wenu wa soka Pep aondoke England
AIBU kubwa sana mnaipata wewe na vibaraka wako
Mnajikausha kama ni watu wema kwa Klopp
Vibaraka nawaona wanashangilia mafanikio wamesahau KLOPP OUT
Mwambie huyo koke wako hata liverpool wanaenda Anfield kupitaKoke; "Yes we know in the past they have overturned deficits, Barcelona comes to mind. But we are not Barcelona and we are used to such games, you can intimidate small boys with stories of ghosts and the dark, we are not small boys. We won't be moved by Anfield, we go to qualify and hopefully after 90 minutes it will be that way."
Sent using Jamii Forums mobile app
Forward line ya Juventus Kali Kama kisu Cha Okapi au wembe wa nugget.
Hamuwezi kuzaliwa siku moja wote.Mkuu umechanganyikiwa kwa kombe la epl nini? inaonesha ni kwa namna gani tokea uzaliwe ujawahi kushudia Liverpool wanashinda kombe la epl. Hongera Klopp umeokoa wengine kuandika historia kwa watu wengine.
Liverpool community watakukumbuka sana..japo inaonesha kua wachezaji wa Liverpool wamefanya kazi kubwa sana..hongera sana kwao.