Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wewe ulikuwepo hapa mkuu
Sasa wake wale waliokuwa wanatukana team leo hii wao ndiyo wanashangilia kweli kweli!
Hao sio Liverpool ni wachumia tumbo tu wa soka
Hatutawaalika ktk sherehe zetu,maana hao ni Man City
Wanamkimbia leo Mungu-Mtu wao wa soka sababu Klopp kamnyoosha mno
Mkuu Aaron Arsenal karibu kwenye sherehe yetu Dar
Mkuu huu mualiko naukosaje kwa mfano.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usipende makundi nachojua sote n mashabiki Wa lfc sitaki kuamin shabik Wa Liverpool asiitakie timu yake mema


TUWE WAMOJA HAKUNA
MWENYE HATI MILIKI NA
NA HII TIMU HUMU
NDANI

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu,sio jambo zuri kuweka makundi kama ambavyo umeandika hapa.Yeyote anayeweka makundi hafanyi jambo jema na anapaswa kuambiwa.
Ninachokiona hapa ni kukosekana tu kwa objectivity..Malafyale yeye anaset standard kuwa Ili uwe Liverpool fan basi kamwe hutakiwi kukosoa mchezaji yeyote wa liverpool au kocha wa liverpool..na watu wanaofata hiyo principle yake ndo anawaita liverpool halisi..Ni kosa..

Nimesoma humu sometimes mwingine Naye anaset standard yake kuwa Ili uwe liverpool fan mwenye uwezo kwa kukosoa chochote kinachohusu kocha au wachezaji basi ni lazima uwe umewahi kufika Anfield..Kwangu Mimi hiki no kitu cha aina moja tu cha kuweka hayo makundi mnayoonekana hamyapendi...Sasa najiuliza kwa nini wengine hawaambiwi kabisa Ila malafyale tu?Naona kama unaandika kukerwa na post ya malafyale sasa,ilipaswa uandike huko nyuma kukerwa na post zenye mlengo huohuo wa malafyale kutoka kwa watu wengine wanaoset standard na kuwa fundisha wengine how to be a liverpool fan..

Angesema malafyale huo upuuzi ungeona watu ambavyo wangejifanya kumkazia humu.Na huyu malafyale yeye amefika Anfield ingawa kuna wajuaji wanaita "kafika occasionally"..Kuna namna Fulani ya kuabudiana inaanza kuonekana humu..kwamba eti kuna vijamaa havipingiki..!!
 
44th game.

Juzi nilienda na matokeo mfukoni mikalamba za uso.

Leo nabeba mawili mfukoni, liwalo na liwe lazima game ya 44 ihesabike.
Mkuu ilikua lazima tufungwe ili kutupa maumivu na kukumbuka kua kuna kufungwa.
See the boys how are going soft & solid vs hammers.
We are going to boom boom them.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wow forgotten hero Adrian lol... This boy gave us what we couldn't get from useless Simon and Karius...

He deserves a proper shout out end of this season... From being Club less to come and cover for super Alisson without letting us down was a big big step for him..

Most likely he will depart for 1st team regular game time most likely in Spain, indeed its a win win situation we got a proper backup and we have given him a chance to restart his career...

YNWA
His Majesty.! Hero Hero Hero dream come true.
Clubless to hero.
Positive stats to his cv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv kuna mtu anaongoza kwa kutukanwa pale liver kama henderson hata tukifukua message za zaman kwenye hili jukwaa nadhan yy ndo anaongoza kwa kupondwa na mashabik wake hilo had mashabik wa timu nyingine wanalijua .cha kushangaza ww unasema anapaishwa
"leave the man alone" .ananyanyua kwapa mwez wa 5 achen kelele tushawachoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha yaani hawa jamaa wamefungwa mara 1 tu mwaka huu tayali wamerudia issue ya le captain Hendo!!(Useless one)
Hii ndio sababu ya kushiba sana.
 
Kwa KDB UPO sahihi

De bruyne the man is something
Hizi Media na baadhi ya Wachambuzi uchwara wanaogaiwa Airtime ndiyo wanaofanya baadhi ya Wachezaji wawe wanachukiwa.

- Ivi Sterling ni kweli average player kiasi ya kwamba hakuna Media ya Kiengereza yeyote inayomuona?
- Kweli anachokifanya Gomez hakionekani pale EPL?
- Kweli KDB anapewa sifa anayostahili? Hivi Media za Kiengereza hazimuoni kwa kile anachokifanya?

Ukweli usiofichika kwasasa KDB ni Ballon D'or contender kama haki itatendeka! Na Obviously ni EPL player of the season.

But cha kushangaza kila Media unayopita unakutana na Picha ya Hendo yenye maneno "He's so close to be a player of the season",..... " Best Midfielder at this current season "..... "He's a complete Midfielder"...... " He carries Liverpool at his own shoulders "..... " Best Captain Ever to lead Liverpool "...... The key of Liverpool's success".....

Yani anapewa sifa zaidi ya uwezo wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
44th game.

Juzi nilienda na matokeo mfukoni mikalamba za uso.

Leo nabeba mawili mfukoni, liwalo na liwe lazima game ya 44 ihesabike.

Leo ni kufa kupona ushindi muhimu kwa ajili ya morali, mashabiki wakipiga shangwe vijana watarudi kwenye morali

Ila hii game leo tunahitaji 1 or 2 goals kwenye first half, tukianza kufungwa ama game ikawa 0-0 up 70mnts basi 3pts zitakuwa shakani
 
Leo ni kufa kupona ushindi muhimu kwa ajili ya morali, mashabiki wakipiga shangwe vijana watarudi kwenye morali

Ila hii game leo tunahitaji 1 or 2 goals kwenye first half, tukianza kufungwa ama game ikawa 0-0 up 70mnts basi 3pts zitakuwa shakani

EPL mimi nimetick 3 points per game mpaka game ya Man City 48 or 49.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom