Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Wanavokaba Hawa wawili Haki yanani wanaweza hata kuizuia Ndoa ya Dada Yangu isivunjike
Wanavokaba Hawa wawili Haki yanani wanaweza hata kuizuia Ndoa ya Dada Yangu isivunjike
Liverpool are lining up a summer move of £107m for Bayer Leverkusen midfielder Kai Havertz, and lead Manchester United, Barcelona and Bayern Munich in the race to sign the 20-year-old Germany international. (Mundo Deportivo, via Mirror)
SomaliaSasa sisi Tanzania kiuhalisia wa mpira tunaweza kushindana na taifa gani duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Somalia
Somalia,Eritrea,South Sudan,Namibia,Gambia,Uganda( Afcon qualification 2019) Kenya Chan.Tanzania hatuna mpira wa kuwafunga Somalia labda tuwaloge aiseeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka hapo kwenye washindani wake ,Mwanzo nilishituka nilidhani Mchezaji bora wa EPL
Lakini kumbe ni Mchezaji bora kwa Wachezaji wa Kiengereza tu! Haina shida as long as washindani wake ni Lingard, Chilwell, Rashford, Madison, Mount, Lallana and c.o.![]()
But namuonea huruma Ndugu yangu Scouser TAA ambaye yupo kwenye kikosi cha Dunia na Ulaya lakini kwenye kijitunzo cha Brexit kaonekana hastahili.
Ni bora asingekuwa Mweusi bali angelizaliwa Mzungu.
Enewey ni Mchezaji wa BT SPORT
Alistahili Trent labda Hendo ukaptein umembebaIla kwa Uingereza nadhani anastahili, ndiyo maana timu ya Taifa Uingereza haikai ikafikiriwa kuwa mshindani WC wala European Cup, imagine kama best wao ndo huyu!
Kane hakustahili muda mwingi amekuwa injury. , Rahim labda ,ila wachezaji wa man city bado hawapewi airtime kwenye tuzo binafsiWalikuwepo akina sterling na kane pia. Punguzeni hasira....Kapteni Jembe piga kazi achana na hawa wenye wivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama 203 wameirudisha compact bas angalau itapunguza maumivuKabisa, maana kwa kuiweka 203 kwenye Compact maumivu siyo. Nilikuwa naumia unalipa Compact Plus au Premium kipindi hiko halafu muda mwingi huangalii, na ESPN nilikuwa naangalia sana NBA.
Huwa ni ofa ya wiki moja tu wanakupa SS3Hawa jamaa DSTV ujue kuna muda siwaelewi. Huwa nalipa kile kifurushi cha 19,000 na 203 naipata ila wana i block kabla hata kifurushi hakijaisha?
Kama 203 wameirudisha compact bas angalau itapunguza maumivu
Alistahili Trent labda Hendo ukaptein umembeba
thamani ya ule usiku wanaijua tuu washabiki wa liverpool, kelele za pale Anfield nasikia ni balaa, ingawa naona tu kwenye tv , sijui lini na mimi nitakuwepo uwanjan moja kwa moja ni experience hayo makelelePep analia mpk leo ile kitu walimfanyia kwenye CL......... nadhan pale city walielewa kwann usiku wa uefa Anfield huwa ni habari nyingine!
Sent using Jamii Forums mobile app

