Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hapana hawez kumuweka bench VVD , bas hata Gomez ?

Kwamimi bila ya kushauriwa na Mtu yeyote bali ni mawazo yangu huru, Ukiniwekea Fit Gomez, Fit Maguire na Fit VVD basi nachagua Fit Gomez mchana kweupeeeeeee.

Nina sababu:
VVD mwanzo wa Msimu kawa partner na Matip kashindwa kupata clean sheet mpaka mimi binafsi nikaanza kuhoji ubora wake.

Akawa partner na Lovren kashindwa kupata clean sheet mpaka mimi binafsi nikaanza kuhoji ubora wake.

Lakini VVD huyuhuyu alipokuwa Partner na Gomez basi tunahesabu Clean sheet mpaka tunapotelea hesabu.

In short VVD hawezi kukupa clean sheet iwapo atakuwa partner na beki yeyote yule asiyekuwa Gomez, But Gomez anakupa Clean sheet hata umpange na Phill Jones wa Manure.

Someone may prove me wrong.
 
Kwamimi bila ya kushauriwa na Mtu yeyote bali ni mawazo yangu huru, Ukiniwekea Fit Gomez, Fit Maguire na Fit VVD basi nachagua Fit Gomez mchana kweupeeeeeee.

Nina sababu:
VVD mwanzo wa Msimu kawa partner na Matip kashindwa kupata clean sheet mpaka mimi binafsi nikaanza kuhoji ubora wake.

Akawa partner na Lovren kashindwa kupata clean sheet mpaka mimi binafsi nikaanza kuhoji ubora wake.

Lakini VVD huyuhuyu alipokuwa Partner na Gomez basi tunahesabu Clean sheet mpaka tunapotelea hesabu.

In short VVD hawezi kukupa iwapo atakuwa partner na beki yeyote yule asiyekuwa Gomez, But Gomez anakupa Clean sheet hata umpange na Phill Jones wa Manure.

Someone may prove me wrong.
Mmmmmmh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bearded Gomez is dope man...

YNWA
 
thamani ya ule usiku wanaijua tuu washabiki wa liverpool, kelele za pale Anfield nasikia ni balaa, ingawa naona tu kwenye tv , sijui lini na mimi nitakuwepo uwanjan moja kwa moja ni experience hayo makelele

Kuna Sangoma mmoja yupo Kitaa hapa nikupe namba yake umcheki anaweza kukupeleka Anfeld ndani ya Dakika 5.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom