Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
The best player in England...... Hatimae anaanza kupewa heshima zake stahiki....... Congratulations our skeeperView attachment 1323404
Sent using Jamii Forums mobile app
[
The best player in England...... Hatimae anaanza kupewa heshima zake stahiki....... Congratulations our skeeperView attachment 1323404
Sent using Jamii Forums mobile app
[
Jumapili tunaenda kushinda goli za kutosha tu, manure ni timu dhaifu sana haiwezi kupambana na Majogoo
Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna watu watakuwa wamenuna sana taarifa hizi nzuri sana za kunenepesha mifupa, Yani kuna watu katika dunia hii wao wamezoea shida shida tu, vitu vizuri kwao hawataki kabisa kuviona vinatendeka katika maisha yao
Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani kila kitu kuhusu Liverpool sasa hivi ni gold.
Ngoja tusubiri maoni ya Malafyale na King Ngwaba.

Sasa napata majibu kwanini Mashabiki wa Timu nyengine wanaomba WWIII itokee![]()
Yani Mashabiki wa Liverpool munajeuri
Mwaka mmoja tu wa Mafanikio umetufanya tuone tumeyasahau Mateso ya Miaka 30 ya kudharauliwa na kila Mtu.
Kibanda umiza cha hapa Home tulikuwa tunaangalia game ya Liverpool watu 3 tu.
Kulipia ilikuwa ni Jero, lakini ilibidi tuwe tunachanga Buku 2 kila Mtu ili zitimie angalau Buku 6 tumlipe mwenye DStv atuoneshe game yetu! Vinginevyo jamaa anatukomalia kuwa haoneshi game yetu kwa Buku Jero ya Watu 3
Dah! Mwaka tumepata Plastic Fans wa Liverpool from nowhere yani tunajaza Banda Umiza Nyomi
Halafu sisi Watu 3 wa zamani tokea enzi za shida tumekuwa MALEGEND ata hatulipi tena tunaingia bure.
Mbona tutazidi kupokea New Fans hapa mpaka uzi utacorrupt huu.
Lakini DullyJr anawapasulia Live kuwa Hawatambui kama wao ni Mashabiki wa Liverpool coz wakati tunapigwa 5 - 0 na Macity, na 6 - 3 na Arsenal , 6 - 1 na Stoke, 4 -1 na Spurs, Tunaliwa Nje ndani na West Ham alikuwa hawaoni![]()
Nakubali matokeo Mkuu
Eti washindani wake ni Harry Kane (Alieusindikiza msimu Wodi ya Wagonjwa) na Raheem Sterling anayepigana na wachezaji wenzake Mazoezini![]()
Pale kuna cantwell na yule beki wa kulia. Dogo yuko poa sana. Ana speed ana anakaba poa. Ili Anord asogezwe eneo lake la utotoni middifieldKlopp ametega aisee wakishuka daraja anamfuata na $7m to $10m.. Yule anatua Liverpool hatumkosi...
Walikuwepo akina sterling na kane pia. Punguzeni hasira....Kapteni Jembe piga kazi achana na hawa wenye wivu.Mwanzo nilishituka nilidhani Mchezaji bora wa EPL
Lakini kumbe ni Mchezaji bora kwa Wachezaji wa Kiengereza tu! Haina shida as long as washindani wake ni Lingard, Chilwell, Rashford, Madison, Mount, Lallana and c.o.![]()
But namuonea huruma Ndugu yangu Scouser TAA ambaye yupo kwenye kikosi cha Dunia na Ulaya lakini kwenye kijitunzo cha Brexit kaonekana hastahili.
Ni bora asingekuwa Mweusi bali angelizaliwa Mzungu.
Enewey ni Mchezaji wa BT SPORT
man city alikaa miaka 44 akachukua kwa mara ya kwanza...nasema hivi sisi liverpool tutaomba kibali cha maandamano huru ya kusheherekea ubingwa pamoja na ulinzi wa polisi wa kutusindikiza..Sasa napata majibu kwanini Mashabiki wa Timu nyengine wanaomba WWIII itokee![]()
Yani Mashabiki wa Liverpool munajeuri
Mwaka mmoja tu wa Mafanikio umetufanya tuone tumeyasahau Mateso ya Miaka 30 ya kudharauliwa na kila Mtu.
Kibanda umiza cha hapa Home tulikuwa tunaangalia game ya Liverpool watu 3 tu.
Kulipia ilikuwa ni Jero, lakini ilibidi tuwe tunachanga Buku 2 kila Mtu ili zitimie angalau Buku 6 tumlipe mwenye DStv atuoneshe game yetu! Vinginevyo jamaa anatukomalia kuwa haoneshi game yetu kwa Buku Jero ya Watu 3
Dah! Mwaka tumepata Plastic Fans wa Liverpool from nowhere yani tunajaza Banda Umiza Nyomi
Halafu sisi Watu 3 wa zamani tokea enzi za shida tumekuwa MALEGEND ata hatulipi tena tunaingia bure.
Mbona tutazidi kupokea New Fans hapa mpaka uzi utacorrupt huu.
Lakini DullyJr anawapasulia Live kuwa Hawatambui kama wao ni Mashabiki wa Liverpool coz wakati tunapigwa 5 - 0 na Macity, na 6 - 3 na Arsenal , 6 - 1 na Stoke, 4 -1 na Spurs, Tunaliwa Nje ndani na West Ham alikuwa hawaoni![]()
Na jadon Sancho msimsahauWalikuwepo akina sterling na kane pia. Punguzeni hasira....Kapteni Jembe piga kazi achana na hawa wenye wivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
wasilete masihara wataenda hatua za mtoanoAFCON 2021 will be played between January & February next season. Liverpool will potentially lose Sadio Mane, Mo Salah and Naby Keita for 6 weeks.

matip mhuni sana yeye alitangaza kustaafu mapema mnoo..Sasa napata majibu kwanini Mashabiki wa Timu nyengine wanaomba WWIII itokee![]()
Yani Mashabiki wa Liverpool munajeuri
Mwaka mmoja tu wa Mafanikio umetufanya tuone tumeyasahau Mateso ya Miaka 30 ya kudharauliwa na kila Mtu.
Kibanda umiza cha hapa Home tulikuwa tunaangalia game ya Liverpool watu 3 tu.
Kulipia ilikuwa ni Jero, lakini ilibidi tuwe tunachanga Buku 2 kila Mtu ili zitimie angalau Buku 6 tumlipe mwenye DStv atuoneshe game yetu! Vinginevyo jamaa anatukomalia kuwa haoneshi game yetu kwa Buku Jero ya Watu 3
Dah! Mwaka tumepata Plastic Fans wa Liverpool from nowhere yani tunajaza Banda Umiza Nyomi
Halafu sisi Watu 3 wa zamani tokea enzi za shida tumekuwa MALEGEND ata hatulipi tena tunaingia bure.
Mbona tutazidi kupokea New Fans hapa mpaka uzi utacorrupt huu.
Lakini DullyJr anawapasulia Live kuwa Hawatambui kama wao ni Mashabiki wa Liverpool coz wakati tunapigwa 5 - 0 na Macity, na 6 - 3 na Arsenal , 6 - 1 na Stoke, 4 -1 na Spurs, Tunaliwa Nje ndani na West Ham alikuwa hawaoni![]()
Dah! Hizi mambo za kuonesha game tofauti na za Liverpool kwenye vibanda zimetuumiza sana, unakuta Man Utd anacheza muda sawa na wetu eti wanaonesha game ya Man Utd.
Siku hizi hata Man Utd wenyewe hawataki kuangalia game zao, wanakimbilia tuangalie ya Liverpool!
Tena case ilikuwa mbaya zaidi kwenye UEFA, sasa hivi hata tupangiwe muda sawa na Barca au Madrid, game ya Liverpool itaoneshwa tu.
AFCON 2021 will be played between January & February next season. Liverpool will potentially lose Sadio Mane, Mo Salah and Naby Keita for 6 weeks.
Kukataa kuitikia wito wa national team bila sababu ya msingi ni kosa kwa sheria za FIFA. Klabu au mchezaji wanaweza kufungiwa na kupigwa fines pia.Siyo lazima waje kuna mwaka matip aliwagomea Cameron, ratiba za caf sometimes ni za kishenzi sana, kwann wasipeleke June na July
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwepo akina sterling na kane pia. Punguzeni hasira....Kapteni Jembe piga kazi achana na hawa wenye wivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
OooohKukataa kuitikia wito wa national team bila sababu ya msingi ni kosa kwa sheria za FIFA. Klabu au mchezaji wanaweza kufungiwa na kupigwa fines pia.