Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
hahahahahhaFanya hivyo mkuu kwa sasa ni raha tu ni matusi kabisa eti kugawana dak kati ya mechi ya liverpool halafu pembeni kuna manure au aseno
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ya kugawana dakika Kumbe iko kila sehemu maana hadi kibanda umiza nachohudhuria mimi tunagawanaga dakika na Chelsea, Arsenal, Man U
Sent using Jamii Forums mobile app

