Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Among hundreds of British players ni mmoja tu ambaye ni recognized by the World
Naye ni TAA King of assists of all FBs.

So, lets British Media to chose their own laughing stock as best player.
But dunia imewitness yupi ni best British player duniani and not only EPL ambaye anatambuliwa na FIFA.

IMG_20200116_074427.png
 
Mwanzo nilishituka nilidhani Mchezaji bora wa EPL

Lakini kumbe ni Mchezaji bora kwa Wachezaji wa Kiengereza tu! Haina shida as long as washindani wake ni Lingard, Chilwell, Rashford, Madison, Mount, Lallana and c.o. [emo

But namuonea huruma Ndugu yangu Scouser TAA ambaye yupo kwenye kikosi cha Dunia na Ulaya lakini kwenye kijitunzo cha Brexit kaonekana hastahili.

Ni bora asingekuwa Mweusi bali angelizaliwa Mzungu.

Enewey ni Mchezaji wa BT SPORT
Huku kwenye team yetu ya Malkia,TAA wa kawaida kabisa benchi anapigwa tu maisha yanakwenda,ila Maestro Hendo ndio ufunguo wetu mkuu kwenye mfumo wetu wa 3-5-2,TAA weusi wake hata Jordon ,Rahem wanao sio kigezo cha consideration ,ukigombana na Rahem tutakuzomea kweli kweli tunachokiangalia nani anaisaidia England sio club yake,mpaka sasa Hendo anatajwa kuwa kiungo bora kabisa duniani na pundits karibu wote na Klop pia sio mara moja kathibitisha hilo ,what a performance .Huyu jamaa hata kama haumpendi wengine tunamuelewa mbaya kabisa ,nikutakie ushindi mnono gemu dhidi ya Utd.
 
Kwani hata sisi tungekua na zaidi ya kina yondani tungewapa nafasi ila sasa ndo hatuna vile ndo waliopo wanakua bora shida ni pale utakapo enda kuwakutanisha na kina ghana ha ha haa wanakua wachumba tu

Nyie sifieni vibovu tu huku mkijifanya mna penda team huyo mnyoosha vidole uwanjani huku yeye hata kugeuka na mpira anaogopa mnamuona bora utafika huo muda wa kila mchezaji kubeba jukumu lake tutapata majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa makocha wajinga kweli wanawezaje kumpa nafasi mchezaji asiyeweza kugeuka na mpira na hawezi kubeba majukumu wakati wanaoweza kugeuka wako nje.Nimalize kusema ,Hili ni fumbo kubwa ,kitu wanachokiona makocha kwa Hendo hamuwezi kukiona mpaka muwe makocha.
 
Sasa timu ya taifa ina msisimko gani hata hao akina samata na msuva wasipocheza au wakicheza? Hivi Tanzania nao tunampira wa kucheza mbele za watu, au tunabebwa tu sera za fairplay?

Sent using Jamii Forums mobile app
"Fairplay policy?" Unamaanisha tunabebwa,tunapendelewa,tunafanyiwa hisani?
Hatushindi kimchezo?
 
Hawa makocha wajinga kweli wanawezaje kumpa nafasi mchezaji asiyeweza kugeuka na mpira na hawezi kubeba majukumu wakati wanaoweza kugeuka wako nje.Nimalize kusema ,Hili ni fumbo kubwa ,kitu wanachokiona makocha kwa Hendo hamuwezi kukiona mpaka muwe makocha.
Na wewe kama unakiona tuelimishe basi tujue. na kama hukijui hicho wanacho ona makocha acha nibakie na mtazamo wangu.

Hata aibu hamuoni mtu anacheza msimu mzima anazidiwa status na aliecheza dakika 150

Sasa kama majukumu yake nikukaa nyuma ya wenzake na kunyoshea wezie vidole si mseme tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom