Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Ntafutieni yule mchezaji bora wa Ingland hapo siini vyema
Nnaona tu kuna katoto ka myaka 20 apo sijui kameingiaje
Khatar sanaView attachment 1324230
Sent using Jamii Forums mobile app

Ntafutieni yule mchezaji bora wa Ingland hapo siini vyema
Nnaona tu kuna katoto ka myaka 20 apo sijui kameingiaje
Khatar sanaView attachment 1324230
Sent using Jamii Forums mobile app

Yeah
Ndo maana mm niliamua kununua dstv ya kwangu maana sitaki buguza kabisa linapokuja suala la liverpool, siwezi acha kupata burudani kutoka kwa akina Firmino eti nikaangalie upuuzi wa akina Rashford makame
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo lazima waje kuna mwaka matip aliwagomea Cameron, ratiba za caf sometimes ni za kishenzi sana, kwann wasipeleke June na July
Sent using Jamii Forums mobile app
Issue ya Matip na Cameron nadhani ina complexity tofauti, kama nakumbuka jamaa alitangaza kuretire baada ya wao kumtosa
Toka DSTV waondoe ESPN channels niliachana nao, ila kwa anayoyafanya Liverpool naona sasa hivi naenda kuwaunga mkono.
Uzuri pia sasa hivi 203 inapatikana kwenye Compact Package, so it is a bit cheaper.
Fanya hivyo mkuu kwa sasa ni raha tu ni matusi kabisa eti kugawana dak kati ya mechi ya liverpool halafu pembeni kuna manure au aseno
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa, maana kwa kuiweka 203 kwenye Compact maumivu siyo. Nilikuwa naumia unalipa Compact Plus au Premium kipindi hiko halafu muda mwingi huangalii, na ESPN nilikuwa naangalia sana NBA.
Sema siku hizi uhuni UEFA wamepeleka supersport 5 na 6 ambapo kwenye compact hakuna kabisa, mm siku wadau wanakuja nyumbani kwangu mechi za liverpool natoa ofa kuangalia bure, maana liverpool wananilipa kwa burudani wanayotoa, ila mechi nachukua kiingilio
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa DSTV ujue kuna muda siwaelewi. Huwa nalipa kile kifurushi cha 19,000 na 203 naipata ila wana i block kabla hata kifurushi hakijaisha?Toka DSTV waondoe ESPN channels niliachana nao, ila kwa anayoyafanya Liverpool naona sasa hivi naenda kuwaunga mkono.
Uzuri pia sasa hivi 203 inapatikana kwenye Compact Package, so it is a bit cheaper.
Liverpool ni burudani sana, maana hata ukisema uangalie banda umiza unaona kama unawapunja jamaa.
Hawa jamaa DSTV ujue kuna muda siwaelewi. Huwa nalipa kile kifurushi cha 19,000 na 203 naipata ila wana i block kabla hata kifurushi hakijaisha?
Yeah nilihisi hivyo ila hata hivyo huwa nawafaidi sana.Nazani huwa unapewa ofa ya siku kadhaa inawezekana hiyo package 203 hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa DSTV ujue kuna muda siwaelewi. Huwa nalipa kile kifurushi cha 19,000 na 203 naipata ila wana i block kabla hata kifurushi hakijaisha?
Hahahahhah, umeona eeeeeh, Kuna siku nilikuwa safarini, kuingia banda umiza jamaa wakaniambia buku, mwanzo nilitoa kwa kumind lakini kadiri game ilivyosonga Kuna jero ilikuwa mfukoni ikabidi nimpe tu mdau maana niliona kana kwamba nimemdhurumu buku tu kwa burudani ile
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamesema kwa wanaotumia kifurushi cha elf 19 ukilipia kabla ya cha awali kwisha wanakupa offer ya kutazama 203 kwa wiki moja kama sikosei ila sharti ni ulipe kabla hakijakataHawa jamaa DSTV ujue kuna muda siwaelewi. Huwa nalipa kile kifurushi cha 19,000 na 203 naipata ila wana i block kabla hata kifurushi hakijaisha?