Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Huyu ni ni wa mbele unapendekeza nani wasaidiane?
Kwangu nafasi ya Firminho ndo wasaidiane
Khofu yangu watapumzishwa kina Keita
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni ni wa mbele unapendekeza nani wasaidiane?
rotationHuyu ni ni wa mbele unapendekeza nani wasaidiane?
Kwangu nafasi ya Firminho ndo wasaidiane
Khofu yangu watapumzishwa kina Keita
Sent using Jamii Forums mobile app
Fifa World champion ni kakikombe ka hovyo tu..kipindi tunabeba hiki kikombe sikusikia hizi kelele kama mnazozipiga nyie..It's obvious mshindi wa UEFA ni champion wa Dunia
Akirudi unitag mkuuNi kwa vile waliokuwa wakikibeba walikuwa wa ovyo........sasa wenye akili njema wamekibeba kimepata hadhi dunia nzima.
Ujifunze kuwa kuna timu duniani zina uwezo wa kuongeza thamani ya makombe.
Allez allez allez! YNWA
Minamino ni Quick na Creative zaidi ya Keita, nadhani hapo ndio atakuwepoHuyu ni ni wa mbele unapendekeza nani wasaidiane?
Kwangu nafasi ya Firminho ndo wasaidiane
Khofu yangu watapumzishwa kina Keita
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni ni wa mbele unapendekeza nani wasaidiane?
Kwangu nafasi ya Firminho ndo wasaidiane
Khofu yangu watapumzishwa kina Keita
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu Keita umeanza kumwona akiwa liver tu?..….....Minamino ni Quick na Creative zaidi ya Keita, nadhani hapo ndio atakuwepo
) huku mpaka tuliitwa 'maRobin Hood'
(Mungu anawaona)..ile game ya 3-3 ndo illiangua vilio ndani na nje ya uwanja (Man city mwaka huu wa kulia wao Sasa mapema tu)
mkuu Keita umeanza kumwona akiwa liver tu?..….....
Keita ana akili sana ya mpira, tbh pale liver sijaona mchezaji mwenye akili ya mpira kama keita, ana akili sana sana........
Sent using Jamii Forums mobile app
nimemshangaa jamaa hapo juu anasema eti minomimo ni creative kuliko keita,,,,,.....Keita ni the most talented footballer kwenye kikosi cha Liverpool.
The Most Talented.
HV huyu ings Wa soton tuliuza moja kwa moja dah Dogo yupo on fire sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kimemnyookea huko soton ...13 goals hadi sasa na amewafunga spurs hapa bonge la bao..problem yake huwa ni consistence na majeruhiHV huyu ings Wa soton tuliuza moja kwa moja dah Dogo yupo on fire sana
Sent using Jamii Forums mobile app
HV huyu ings Wa soton tuliuza moja kwa moja dah Dogo yupo on fire sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Moderetor hawataki Mkuu.Moderator huu uzi inabidi au update, atuwekee na picha ya kubeba kikombe cha Club Worldcup kama ilivyo iyo ya UCL
Nimewasilisha, YNWA-Happy New Year Kopites
Doh, sisi waswahili ni shida sana...Uzi unatuhusu alafu hivi kwani akiweka tu iyo picha itampa hasara gani?ama kuna charges ktk kuweka picha huwa wnalipia?Moderetor hawataki Mkuu.
Moderator huu uzi inabidi au update, atuwekee na picha ya kubeba kikombe cha Club Worldcup kama ilivyo iyo ya UCL
Nimewasilisha, YNWA-Happy New Year Kopites
Mwanangu umefanya analysis nzuri sana! Nakumbuka ile mechi na vijana wa Tonny Pulsi nilidondosha machozi! Sijui kamepotelea wapi kale kazee!Liverpool FC in 2010s:
•••
Miaka 10 ya Liverpool ulianza kwa msimu wake wa mwisho Kocha Rafa kufeli baada ya kuweza kumaliza nafasi ya 2 msimu wa mwaka 2008/09 mpaka nafasi ya 7 katika msimamo EPL mwaka 2009/2010 ...timu akapewa Roy.
Roy Hodgson hakuwa mtu sahihi wa kuipa mafanikio zaidi ya aliye mtangulia zaidi ya timu kudhoofika kiasi ambacho matumaini ya kushika nafasi 4 za juu kupotea .
Baada ya dirisha la kuhamisha majira ya joto ambalo alisajili wakina Christian Poulsen na Milan Jovanovic, Hodgson aliiongoza Liverpool kwa ondelea ya matokeo ya aibu ,ambapo mpaka Christmas timu ilikuwa chini karibia mstari wa kushuka daraja, hakuchukua muda akapigwa chini January 2010 /11..mikoba akapewa Kenny Daglish..( huu mwaka ndo tulimpoteza Torres akatimkia Chelsea)
Kenny Dalglish aliingia kwenye kibarua na kuleta wachezaji baadhi kuimarisha kikosi mfano Andy Carrol, Luis Suarez,Hendo na kusaidia kumaliza nafasi ya 6 ndani ya msimu wa 2010/11 wa ligi .
KD akaamua kusuka kikosi zaidi aliwachukua wakina jonjo ,maireless ,konchesky n.k wakati wa majira ya joto(UK)... pamoja na kufanikiwa kuipa ubingwa wa kombe la ligi dhidi ya Cardif (kwa mikwaju ya penati)..maboss wakaona bado hatoshi maana alimaliza msimu akiiongoza Liverpool kumaliza nafasi ya 8..mechi za kushinda14 tu..daamn (HATARI) huku mpaka tuliitwa 'maRobin Hood'
...,.......,.........
SAS
Brendan Rodgers huku wakitizamia soka Safi walilikuwa wakipiga Swansea ,akashawishi maboss wamchukue wampe timu na kuanza kusuka kikosi chake 2012/2013 alifanikiwa kutengeneza Combi hatari zaidi kipindi hicho SAS (Suarez + Sturridge) matumaini Sasa yalikuja, mwanga ulionekana Brendan soka Safi kila game unaona timu inapata matokeo/inapambana kutafuta ubingwa ..ila Crystal palace(Mungu anawaona)..ile game ya 3-3 ndo illiangua vilio ndani na nje ya uwanja (Man city mwaka huu wa kulia wao Sasa mapema tu)
,............................
Nadhani Baada ya kamaliza nafasi ya pili wakubwa kutuonea donge tuna best patnership in EPL .. Barca wakamtwaa Suarez , Brendan akajaribu kutengeneza new Combi (Sturridge na Sterling ) kaongeza wakina Boby , Markovic balaa zaidi mpaka Baloteli ndani - huku Sturridge akiwa tunamtegemea kwenye ushambuliaji alikuwa majeruhi muda mrefu.. game ya awali kabisaa tuna Man city(nadhani hatari ilianzia hapa) baadaye Man city wakamrubuni Sterling ..pamoja na kuanza vizuri Brandan alimaliza bila kupata chochote hata silveware!!!!!!..mpaka Oktoba 2015 akatokea Mkombozi wa Muongo mmoja ..
.............................
2015- Jurgen Klop kwenye interview alifanya na kutabanaisha ya kuwa Yuko kwenye kujenga timu yenye kikosi Cha kupambana ubingwa Baada ya miaka mitatu ya mpito ,kwenye kuaanda timu kwenye mpito tunaona Jk akifanikiwa kufika fainali Europa league , na fainali UCL 2018
2018/2019 akizidi kuimarisha kikosi kwa kumuongeza Fabinho na Alison tuliona Sasa ile nuru hasa huku timu ikimaliza nafasi ya 2 kidogo kuwa mabingwa wa EPL ..mpaka kurudi kwenye utawala wa ligi ya mabingwa mwaka 2019 kuichukua vikombe vyote vikubwa (UCL,SUPER CUP,WORLD CLUB CHAMPIONS)..huku kukiwa na matarajio makubwa ya kunyakua ubingwa wa england (EPL) sasa ndio timu tishio zaidi duniani.
Swali je miaka 10 ijayo itakuwa ya neema zaidi!? Ama anguko tena !?
Mungu ibariki Tz
Mungu ibariki Liverpool fc
Mungu tubariki wapenzi na mashabiki wa Liverpool tuione miaka mengine 10 ya timu yetu pendwa .
Asante
# This is Liverpool
# YNWA.
Happy New year.
View attachment 1309474View attachment 1309476
Sent using Jamii Forums mobile app