Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Mkuu Radika umeadimika sana...Pamoja sana mkuu
Mkuu Radika umeadimika sana...Pamoja sana mkuu
Majukumu mkuu yalikuwa makali sana nashukur mpo poa sana humuMkuu Radika umeadimika sana...
View attachment 1308590
Done deal Diego carlos kutoka Sevilla.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tukimaliza January bila kupoteza, record ya 49 unbeaten run ya Arsenal itakuwa mashakani.
January tuna Tottenham (away), Man Utd (home) and Wolves (away) hizi ngoma zikipita April 4 City atakuwa ndiye game ya 49.
Kitendo cha Kila Mtu kuilalamikia Liverpool kuhusu VAR inaonesha kwamba sasahivi Liverpool ni Timu inayofatiliwa zaidi na Wapenzi wa Soccer kuliko Timu yeyote ile Duniani.
Na ndiyomana VAR ikiboronga kwa Vitimu vilivyokwisha ishiwa kama Manure na Chelsea basi hakuna anayejali, but ikifanya maamuzi yeyote kuhusu Liverpool ndiyo utaona kelele nyingi sana hapa.
Pole Sana na majukumu Mkuu,Majukumu mkuu yalikuwa makali sana nashukur mpo poa sana humu
Hapana Takumi na Philips hawawezi kuwavaa Blades kwa sheria za FA atakua amekamilisha taratibu zote za usajili kuanzia tarehe 5/1/20....Hivi Keshokutwa Takumi si anaanza kukipiga, itabidi tuanze na Minamino halafu Salah ataingia dk y 60
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii atapewa Takumi mkuu muda ukifika...Dah! Carroll na Benteke walifanya udhalilishaji Mkubwa sana wa hii Jezi.
Hope Jezi namba 7 akiiwacha Milner akabidhiwe Salah au irudishwe Kabatini.
Msimu uliopita game zilizotunyima ubingwa ni kutoaMsimu ulioisha, Man Utd tuliwafata kwao wakiwa wabovu, ndani ya dakika 25, walipata injuries 3 na hivyo substitutions zote zikaisha.
I expected kwamba tungechange game plan kutumia advantage ya sub kuisha ili kushinda game, mwisho wa siku game ikaisha suluhu. Kwa muktadha wa namna hiyo, game yetu kwa Man Utd siyo ya kuichukulia kiwepesi.
Uliona msimu huu tulivyokimbizwa OT, regardless ya hayo malalamiko ya VAR, Man Utd walikuwa bora zaidi yetu siku ile.
Msimu uliopita game zilizotunyima ubingwa ni kutoa
>draw na Leicester,
>draw na Westham
>draw na Manchester United.
Gemu yote dhidi ya Manchester United haijawai kuwa rahisi aidha mmoja au yupo kileleni ni mwingine anisugua huko kati basi wakikutana hua ni very tactical game...
Msimu huu tumetoa draw kwao huku tukipumulia HDU Kwa vile Ole alimsapraizi Klopp kuweka Midfield wachezaji watano ki ukweli hata mimi walinishangaza mfumo ule na hakika uliwatendea haki.. Ajabu nashangaa hakuna timu nyingine imejaribu kupanga kikosi chao vile pindi tunapokutana...
Ian Graham mkuu wa Research pale Liverpool naamini mpaka tunakutana tena na Manchester United msimu huu atakua kashampa Klopp mbinu na aina ya wachezaji watumike dhidi ya Manchester United..
YNWA
Carroll and Benteke flops of the decade kuja Liverpool ki ukweli tulipigwa...
Carroll and Benteke flops of the decade kuja Liverpool ki ukweli tulipigwa...
Angalau Kwa Benteke tulirudisha mpunga kiasi fani alivyouzwa Palace...
Yap sahiv kila mchezaji anahitajika nadhani mpaka clyne angekuwa fit angecheza ..kipindi hichi ndo Cha kuonesha mchango kwa timu nimeona mpka kamleta yule aliyekuwa Stuttgart mkopo nadhani game na Everton FA anaweza akapewa nafasi ..Kama hao beki wetu kurudi mpak FebKwangu wakivaa ule uzi na kupata nafasi wajitume kama Lallana mechi ya juzi alijitahidi mno kadri awezavyo...
Msimu wa 2011-2012 Manchester City alichungua ubingwa Wa EPL ikiwa ni mara ya kwanza ndani ya miaka 44, walichukua Kwa wingi Wa magoli dhidi ya Manchester United, ubingwa huo mechi ya mwisho ya walishinda dhidi ya QPR 3 2 pale Ethad huku Manchester United wakitoka sare Sunderland pale stadium of Light ..
Super Mario Balotelli mechi hio alitoa assist Kwa Sergio Aguero goli la ushindi na ndio ilikua assist yake pekee aliyotoa kwa msimu mzima EPL na ndio iliwapa ubingwa Wa kwanza kabisa ndani ya miaka 44, hivyo japo tunaona hawa akina Lallana, Hendo nk sio levo yetu Kwa sasa bado wana nafasi ya kutusaidia pindi nafasi zikijitokeza..
It's coming home 19th...
YNWA
Draw na EvertonMsimu uliopita game zilizotunyima ubingwa ni kutoa
>draw na Leicester,
>draw na Westham
>draw na Manchester United.
Gemu yote dhidi ya Manchester United haijawai kuwa rahisi aidha mmoja au yupo kileleni ni mwingine anisugua huko kati basi wakikutana hua ni very tactical game...
Msimu huu tumetoa draw kwao huku tukipumulia HDU Kwa vile Ole alimsapraizi Klopp kuweka Midfield wachezaji watano ki ukweli hata mimi walinishangaza mfumo ule na hakika uliwatendea haki.. Ajabu nashangaa hakuna timu nyingine imejaribu kupanga kikosi chao vile pindi tunapokutana...
Ian Graham mkuu wa Research pale Liverpool naamini mpaka tunakutana tena na Manchester United msimu huu atakua kashampa Klopp mbinu na aina ya wachezaji watumike dhidi ya Manchester United..
YNWA
Sorry it is Visa -freeMkuu yule si ana uraia pacha Russian na Israel, huu Wa Uingereza kaupata lini