Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kitendo cha Kila Mtu kuilalamikia Liverpool kuhusu VAR inaonesha kwamba sasahivi Liverpool ni Timu inayofatiliwa zaidi na Wapenzi wa Soccer kuliko Timu yeyote ile Duniani.
Na ndiyomana VAR ikiboronga kwa Vitimu vilivyokwisha ishiwa kama Manure na Chelsea basi hakuna anayejali, but ikifanya maamuzi yeyote kuhusu Liverpool ndiyo utaona kelele nyingi sana hapa.
Wenyewe wanasema 'suffering from success'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yap sahiv kila mchezaji anahitajika nadhani mpaka clyne angekuwa fit angecheza ..kipindi hichi ndo Cha kuonesha mchango kwa timu nimeona mpka kamleta yule aliyekuwa Stuttgart mkopo nadhani game na Everton FA anaweza akapewa nafasi ..Kama hao beki wetu kurudi mpak Feb

Sent using Jamii Forums mobile app
Ya Philips anarudi nyumbani Kwa siku kadhaa atarejea tena Stuttgart kuedelea na mkopo wake mwezi February wakishakua wamepona Matip na Lovren...

Duh Clyne nadhani nje msimu wote huu.. Ila si bure mbona hawa Waingereza wakiumia huchukua muda mrefu sana kupona na majereha ya kujirudia mara kwa mara nayo shinda Kwa mfano muangalie Ox wetu, Shaw Wa Manchester United, Clyne wetu, Stones Wa Manchester City nk...

FA dhidi ya Everton hopefully Klopp atamunzisha au kumpa dakika Takumi ajitambulisha rasmi Uingereza..

YNWA
 
MINAMINO ndani ya MELWOOD!! - what a perfect replacement for Lallana!
IMG-20191231-WA0058.jpg
IMG-20191231-WA0049.jpg
IMG-20191231-WA0054.jpg
IMG-20191231-WA0048.jpg
IMG-20191231-WA0053.jpg
IMG-20191231-WA0045.jpg
Screenshot_20191231-184510.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashauri mambo ya Simba na yanga yabaki kwenye majukwaa yake
Watu wana roho ngumu! Hapo kuna timu za kushabikia? So kujitia pressure bure tu? Huo uchafu ubaki huko huko asante mkuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom