Kuna watu wanajua kuongea asee dah akirudi ni ukatili wake tu ila jibu limejitoshelezaAkirudi unitag mkuu
Wolverhampton wanatukazia halafu kwa watford wanapigwa kiulaini tu
Huyu ni 7 10. 11 huko kwa akina Keita awaache wenyewe.Minamino ni Quick na Creative zaidi ya Keita, nadhani hapo ndio atakuwepo
Apo ndo nnapo washangaa makocha kwa hiyo amekosa wa kati mpaka ambadili huyu.
hahhahaaaaaa nasubiri kuona bifu lake na levy, wote wana ego sana hawa jamaaMuriohno heading for the sack...
They didn't bring him for this...
game ijayo wana sisi sio?.......Hary kane leo hiyo muscle yake hivi mechi ijayo atakuwa karejea kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
game ijayo wana sisi sio?.......
nadhan hata son atakua bado anatumikia kifungo
Sent using Jamii Forums mobile app
Keita bado hajiamini pale tutamfaidi akija kukabidhiwa namaba rasmi na hisi Klopp anamnyima uhuru bado.Keita ni the most talented footballer kwenye kikosi cha Liverpool.
The Most Talented.
Yule si mwalimu ni msimamizi tu mwezi tu yayali team haijulikani inacheza jeMuriohno heading for the sack...
They didn't bring him for this...
Keita bado hajiamini pale tutamfaidi akija kukabidhiwa namaba rasmi na hisi Klopp anamnyima uhuru bado.
Shangaa pamoja na kucheza vyema mechi za karibuni juzi kawekwa bechi kanza Lalana lazima ukose comfidensi ukakosa majibu kocha anatakaje ukipangwa huizi funguka ukihofu kumuuzi kocha ndomana hatuoni kipaji chake kwa sasa anafata maelekezo zaidi hajiongezi.
Naomba Minamino asikutane na hii hali tuone ubora wake mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Wolverhampton wanatukazia halafu kwa watford wanapigwa kiulaini tu




Thought so too...Sidhani kama hajiamini, nafikiri kocha anamchezesha Lallana ili kuonekana, kama tukipata timu ya kumchukua hii January anaondoka.
Vinginevyo ataondoka free June.
Moyes huyo kaanza kwa nguvu hiyo...hivi hawa westham walikua wapi siku zote?
msimu huu nadhan utamu utakua chini huko, kugombea kutoshuka daraja maana
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi hawa westham walikua wapi siku zote?
msimu huu nadhan utamu utakua chini huko, kugombea kutoshuka daraja maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tarehe 29 tunao hao