Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Keita bado hajiamini pale tutamfaidi akija kukabidhiwa namaba rasmi na hisi Klopp anamnyima uhuru bado.

Shangaa pamoja na kucheza vyema mechi za karibuni juzi kawekwa bechi kanza Lalana lazima ukose comfidensi ukakosa majibu kocha anatakaje ukipangwa huizi funguka ukihofu kumuuzi kocha ndomana hatuoni kipaji chake kwa sasa anafata maelekezo zaidi hajiongezi.

Naomba Minamino asikutane na hii hali tuone ubora wake mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha anaogopa kumpoteza mazima keita kwa majeruhi kwa kipindi hiki muhimu cha msimu na ndo maana hamchezshi paseee. Anamuhitaji sana ndo maana unaona anampumzisha sana jua katoka majruhi juzi kati tu so akitonesha now basi utashangaa msiku ndo unaisha hvy. So anamlinda kiaina fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahhahaaaaaa nasubiri kuona bifu lake na levy, wote wana ego sana hawa jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha ule mshahara wake na matokeo haziendani....

Muriohno amwangukie Rui Faria tangu wameachana mwaka 2018 mambo yamekua hovyo sana Kwa Jose...

Sasa alipo Kwa babu kipara ni mtihani Sana kwake..
 
Humu kuna watu wanamkubali etiYule si mwalimu ni msimamizi tu mwezi tu yayali team haijulikani inacheza je

Kimbembe kina anza kesha anza kutoa kasoro Kene kina Ali wameanza kua wakabaji ha ha haa

Narudia kumpa pole Lev kwa kumpa kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Levy hua anajifanya ni deals maestro lakini dili hii imekula kwake...

Mouriohno hapa atadai kikosi sio chake hivyo apewe mkwaja aweke mambo sawa ananunue wachezaji anaowataka...

Hii movie bado haijaanza...
 
Keita bado hajiamini pale tutamfaidi akija kukabidhiwa namaba rasmi na hisi Klopp anamnyima uhuru bado.

Shangaa pamoja na kucheza vyema mechi za karibuni juzi kawekwa bechi kanza Lalana lazima ukose comfidensi ukakosa majibu kocha anatakaje ukipangwa huizi funguka ukihofu kumuuzi kocha ndomana hatuoni kipaji chake kwa sasa anafata maelekezo zaidi hajiongezi.

Naomba Minamino asikutane na hii hali tuone ubora wake mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp is managing his squad

I am not worried about keita, he has already answered his critics
 
Tukiweza kufika hiyo game, patanoga sana.

Hiyo mechi itakuwa ya msimu.
Pep is one kind of funny guy I can tell.. The way he is pushing his team now lol you might think he had taken sabbatical only to come back and find Liverpool at the top bhana...

He so so convinced we will get cold legs along the way and hand them the more reason to craw back to the EPL summit...

2020 May finally its coming home...

Shine on Liverpool...

YNWA
 
Hatimaye Moderator wametusikia Trophies zetu zimeongezwa na kama kuna uwezekano hiyo picture ya Liverpool squad 2017 - 2018 muiondoe mtuwekee picha ya FIFA CLUB WORLD CUP hapo.
Painkiller wivu unamwua,, ila wanafanya ukiwatumia kama report. Hiyo sentensi yako ya mwisho hebu Fanya kuwatumia kama report!
 
Keita bado hajiamini pale tutamfaidi akija kukabidhiwa namaba rasmi na hisi Klopp anamnyima uhuru bado.

Shangaa pamoja na kucheza vyema mechi za karibuni juzi kawekwa bechi kanza Lalana lazima ukose comfidensi ukakosa majibu kocha anatakaje ukipangwa huizi funguka ukihofu kumuuzi kocha ndomana hatuoni kipaji chake kwa sasa anafata maelekezo zaidi hajiongezi.

Naomba Minamino asikutane na hii hali tuone ubora wake mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp m'baguzi wa rangi ..anam'bagua Keita.

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom