Mkuu umechanganya last season hakukuwa na VAR wala Refa hakutuuwa kwenye hiyo game tuliyotoa Sare na Manure Klopp akasingizia injuries za Manure zimeharibu game plan yake.
Sana, Everton hawako vibaya kivile naona wanajijenga mdogo mdogo.Sasa hawa Blue kua chini ya huyu mamvi itakua ndio derby game murwa...
Happy new year Wana livapuuu.
Mwaka huu ukawe wa mafanikio zaidi,kwenu nyinyi na kwa timu yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Watampa mkwaja mamvi kuimarisha pale nyuma hivyo angalau ataleta ushindani kwenye ligi sio kugawa pointi kama kipindi cha Silva...Sana, Everton hawako vibaya kivile naona wanajijenga mdogo mdogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ,Tunamuhitaji na pep asikimbie kwanza msimu ujao amalizie tuone mbinu tofauti tofauti..maxi allegri , pochetino ,Wenger naye arudi,Diego Simeone waje pale EPL tuumane...Watampa mkwaja mamvi kuimarisha pale nyuma hivyo angalau ataleta ushindani kwenye ligi sio kugawa pointi kama kipindi cha Silva...
Baada ya Liverpool kutoka kwenye shimo la mufilisi 2010 na sasa kua klabu ya nguvu kipesa na uwanjani kurudisha makali naamini wawekezaji wengi watahamashika kuja ama kuongeza mkwaja kwenye timu zao...Hahaha ,Tunamuhitaji na pep asikimbie kwanza msimu ujao amalizie tuone mbinu tofauti tofauti..maxi allegri , pochetino ,Wenger naye arudi,Diego Simeone waje pale EPL tuumane...
Nilisoma article moja ya mipango ya mwekezaji wa Southampton-yule mwanamke ( wakiwa na nia ya kuanza kuzigombania nafasi 4 za juu) sijui walisitisha ama ilikuaje au sababu ya huyu mchina mwenye share kubwa kaja na mipango ile ile ya kizamani... sielewi!
Sent using Jamii Forums mobile app