SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Malizia na wazee wa UCL na World Cup champions...Wazee wa VAR mnaendeleaje hapo jijini Liverpool??
Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia na wazee wa UCL na World Cup champions...Wazee wa VAR mnaendeleaje hapo jijini Liverpool??
Fifa World champion ni kakikombe ka hovyo tu..kipindi tunabeba hiki kikombe sikusikia hizi kelele kama mnazozipiga nyie..It's obvious mshindi wa UEFA ni champion wa Dunia
Seconded...I always tell people, we have been on the other end, I remember times when Fergie was winning everytime, we used to condemn Man Utd fans due to favors they were attracting. Sometimes it was true, though most of the times it was because we were poor in form and we couldn't accept it, so we had to find an excuse.
This time around, we are on this good end, all the universe are conspiring to make sure that EPL is secured, new records are set and we become the Team that we were destined to be.
One question any of us should ask oneself is, wouldn't you say the same if you were on their end?
If the answer is yes you would, then let them release their angers, this is Football.

Ingekuwa ni vidogo usingecomentKuna vitu vingine ni vitu vidogo sana msitake kuvifanya viwe Agenda humu.
Hongera Dada,, mmenyimwa nafasi na ubora wenu,, kazi kweli kweli! Hivi Manure nayo ina kikosi ambacho unaweza kujivunia?Kusema kweli siku liverpool akichukua epl ,hakuna atakaye wapa heshima kuku nyie, coz dunia nzima inaona kuwa ni ubigwa wa kupangwa,
Coz ni aibu kubwa sana na watakuwa wameidhalilisha league yetu pendwa epl, kubebwa bebwa na var mpaka anakuwa bingwa wakat wanaume wa kazi wenye ubora wao wapo wananyimwa nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Coz ....coz.... coz....... acha upimbiKusema kweli siku liverpool akichukua epl ,hakuna atakaye wapa heshima kuku nyie, coz dunia nzima inaona kuwa ni ubigwa wa kupangwa,
Coz ni aibu kubwa sana na watakuwa wameidhalilisha league yetu pendwa epl, kubebwa bebwa na var mpaka anakuwa bingwa wakat wanaume wa kazi wenye ubora wao wapo wananyimwa nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app

Pain killer, Ollachuga Oc, el nino nk

Sasa mkuu Fargie Si wazi kabisa alibebwa na marefa??? Kama ilivyo sasa mnabebwa na VAR banaHata enzi ya kilele cha mafanikio ya Fergie wapo walioamini baadhi ya marefa walikua wanawapendelea Manchester United na sana sana Webb...
Hivyo hayo ya VAR si jambo geni Kwa vile Liverpool majogoo wanafanya vizuri..
Mti wenye matunda ni ngumu kukwepa kurushiwa mawe...
Tumesheheni matunda murwa kabisa kombe la UCL, Super Cup ulipigika vizuri kabisa na kubwa lao kombe la Dunia Kwa ngazi ya vilabu na tunaongoza ligi Kwa pointi maridadi kabisa 13 na mchezo mkononi.. Sasa mpaka hapo Ollachuga Oc hatutegemei mtukumbali kwamba tunajua mbali mtarusha vimaneno huku na kule ila wenzio hatukatishwi tamaa tupo ngangari kinoma...
YNWA

Klopp haangalii sura, yeye anaua kiumbe chochote kinachojipendekeza mbele yake...endeleeni kuchonga, sisi tunakusanya pwenti tuUbingwa wa msimu huu hautakuwa na ushindani wowote maana tayar mnatengenezewa njia kabisa ya kubeba.
Munataka mutoe gundu sio??
Mbeleko Fc..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi Chelsea hatukuwahi kubeba ubingwa kwa kiumbe chochote kile...Klopp haangalii sura, yeye anaua kiumbe chochote kinachojipendekeza mbele yake...endeleeni kuchonga, sisi tunakusanya pwenti tu
Sent using Jamii Forums mobile app

Wazee wa VAR mnaendeleaje hapo jijini Liverpool??
Hiloooooooo
Fifa World champion ni kakikombe ka hovyo tu..kipindi tunabeba hiki kikombe sikusikia hizi kelele kama mnazozipiga nyie..It's obvious mshindi wa UEFA ni champion wa Dunia
Kusema kweli siku liverpool akichukua epl ,hakuna atakaye wapa heshima kuku nyie, coz dunia nzima inaona kuwa ni ubigwa wa kupangwa,