Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_7053.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
can anyone prove me wrong re Leicester City's title race? that their wheels seem to be coming off while ManCity to remain our strongest challenger?

the signs are all there now for all to see!
The Citizens are the team to beat hawa Foxes ni lucky boys in the right time where others are doing badly wao wanafanya poa...

But at the end of the day Citizens ndio tishio kwetu..

Na mfano wakati Spurs anapewa Jose walikua wameachwa kama pointi 12 na Chelsea lakini Leo Spurs akishinda atakua juu ya Chelsea..

Vijana wazidi kupambana aisee
 
Kuna shuti moja Hendo alipiga golikipa akaliona, nilishukuru sana maana lingeingia humu ndani tungekoma.
Aisee hata mimi nilishangilia sana.
ndani ya ubingwa huu kungekua na karaha.

ona maneno haya toka shabiki wa Liverpool
Jana tumeshuhudia Fundi Hendo alivyozima ndoto za wabrazil wa Flamingo. Ile ndo namba yake na pale ndipo huwa anaitendea kazi... makosa mengi ya Keita yalirekebishwa na Captain wetu.. kama jana Hendo asinge kuwepo tungepigwa nyingi sana.... parfomance ya keita na Chember zilikua mbovu bora alivyoingia Lalana alimsaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna timu inayotuambia kitu kwa sasa Duniani!....
Kila jambo lina wakati wake, ni muda wa Liver kuchukua vikombe , lakini hata hivyo siyo kwa sababu Liver ni timu ya kipekee! Sababu kubwa ni wapinzani wakubwa wa Liver ndani ya Uingereza wanapitia kipindi cha mpito lakini pia hata club kubwa za Ulaya zina changamoto kadhaa kwa sasa. Hivyo, make hay while the sun is shining otherwise the same sun is about to set over the club!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bobby kafunga Goli akatufikisha Fainali

Bobby kafunga Goli akatupa Kombe

But Tutasikia Misifa ya kumwaga Kuwa Captain Hendo katupa Kombe
mkuu, opinions za hivi ndizo huwaga mimi sizielewagi kabisa aisee.

soka ni mchezo wa timu ya watu 11.
huyo Bobby ina maana huwa anakimbiaga na mpira peke yake kuanzia mwanzo hadi mwisho wa pitch na kufunga?

i have grown up as a LFC supporter nikiwa najua utamaduni wa Liverpudlians ni RESPECT & TOLERANCE across the board. no discrimination. nikisoma maelezo ya Klopp between the lines anapotoa sababu kwa nini alii snub Manure in favour of LFC inaonyesha kuwa hii culture ya club ndiyo iliyo play key role kwani the German is a very humble and modest person.

kama sisi wenyewe tunaanza kunyanyapaa wachezaji wetu basi tusisahau pia kuanza kumnyanyapaa anayewapanga, yaani Klopp.

Klopp ame design template ya uchezaji kwa timu yetu ambayo anajua ni aina gani ya wachezaji awatumie kwenye games zipi na positions zipi. kwa opinions za jinsi hii ni sawa kumlazimisha Klopp atumbukize goroli kwenye shimo la mraba (forcing a round peg onto a square hole)!

usikwazike, ni maoni yangu binafsi na nitaendelea kuyatoa.... nakereka sana kuona wachezaji wanaoiletea mafanikio timu yetu wananyanyapaliwa bila kosa lolote!
 
naona scenario ya Can sio mbaya kama Coutinho.. ndio 7bu watu humtaja sana Coutinho.

Sterling same same sema yeye amefanikiwa hazungumzwi sana ila aliondoka kihuni.
kwa asilimia kubwa atakua pagumu pep akiondoka.


Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Sterling bana tumeshasahau hata huyu Countino tutasahau tu sema ni vile alifosi mpaka kujilipia kiasi cha pesa ilie ajiunge na Catalans... Klopp alimuonya ukieda Barca utakua just another player so akamshauri abakie na yeye Kwa dharau akasema lazima aodoke.. He regret that now..
 
Kila jambo lina wakati wake, ni muda wa Liver kuchukua vikombe , lakini hata hivyo siyo kwa sababu Liver ni timu ya kipekee! Sababu kubwa ni wapinzani wakubwa wa Liver ndani ya Uingereza wanapitia kipindi cha mpito lakini pia hata club kubwa za Ulaya zina changamoto kadhaa kwa sasa. Hivyo, make hay while the sun is shining otherwise the same sun is about to set over the club!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kipindi cha mpito sisi tupo vizuri kuliko wao.hakuna cha mpito wala nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom