Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Adrian kapata Zari kubeba Makombe Uzeeni
Kuna shuti moja Hendo alipiga golikipa akaliona, nilishukuru sana maana lingeingia humu ndani tungekoma.


Ule uzi yule jamaa alisema tutafungwa jamani nautafuta
Ni dhahir sasa tuna mashabiki wapya wengi kutokana na peak tuliyonayo katika matokeo na vikombe tunavyopata kwa muda huu toka mwamba wa kijeruman aka German machine Mr klopp n muda wa n kujivunia kama wana kops tumeteseka sana kwakweli
Pamoja na mafanikio haya haters nao hawakosekan kwan wao kila siku kaz ya kuifungulia nyuz za kutukatisha tamaa wana Liverpool nasema hiv watazid kushangaa sna sisi tunasonga mbeleee wao timu zao bado zinachechemea tu had zikija kukaa sawa nadhan kabat letu litakuwa halitoshi kwa vikombe
Ni muda wetu huu kama hutak ungana nasi basi better shut up your mouth
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna baadhi ya shida unajitafutia mwenyewe tu... He is like a 9 best player in the teamWe adore you Capitane Hendo
We love you
View attachment 1299556View attachment 1299557View attachment 1299558View attachment 1299559View attachment 1299560
Tutakuja waambia watoto wetu kama kulikuwa na Captain mkakamavu anaitwa Hendo ALICHUKUA kila kitu!
Hendo anaenda nyanyua EPL May
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hili mimi nalizingatia sana Chambalin akipangwa kati panakua dhaifu japo hua anafunga akipata nafasiSometime si kila anayefunga Goli ndiye aliyecheza vizuri uwanjani.
Stats zinaonesha Salah kacheza vizuri kwenye haya mashindano.
Oxy yuko poa kumbe
We adore you Capitane Hendo
We love you
View attachment 1299556View attachment 1299557View attachment 1299558View attachment 1299559View attachment 1299560
Tutakuja waambia watoto wetu kama kulikuwa na Captain mkakamavu anaitwa Hendo ALICHUKUA kila kitu!
Hendo anaenda nyanyua EPL May
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kila anae pangwa na Klopp mm namheshimuKuna baadhi ya shida unajitafutia mwenyewe tu... He is like a 9 best player in the team
Haihitaji washabiki... All he needs is to win trophies
Most of hate towards hendo is caused by people like you
Looking at 2018 to date contribution of each player.... Ungeanza Basi na wale ambao kweli wetubeba
Usikose busara kiasi hicho... Malafyale is such an honorable name
Duu we need fit and kickingKwa jinsi AOC anavyolalamikia maumivu usijeshangaa kuwa ni out 6 months
Wale jamaa was a proper wake up call... They matched whatever we threw yaaani kweli Brazil itabaki kua soka power house...Ni noma Yaan Robo TAA wamezuiwa kupanda mara kwa mara Rafinha anacheza na saikolojia ya Mane ..yan jamaa wanajua kwa kwel ..Alaf m nawaona wakianza kuja kutushambulia muda wote watafanikiwa pakubwa yani..wana teamwork ya ukweli..utasema walikaa miezi na miezi wanawasoma wachezaji wetu ..kibaya zaidi ndo our regular first team ..kweli tunahitaji plan B ..
Aisee flamengo ni bonge la timu..nimeikubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kungekucha Echo, the Mirror yaaani noma sanaaa..I imagine hii miss ya Hendo ingekuwa goli, tungekoma