Dah! Yani Furaha yangu imeingia Dosari muda huu.
Basi la Prince limetoka Dar Jana likiwa limebeba Abiria waendao Mwanza, Limeharibika Morogoro na Kufika Singida Leo, Hatimae Leo limepata Ajali hapa Singida na Tuna majeruhi wengi tu Waliopelekwa Kituo cha Afya Ikungi - Singida.
Lallana majeruhi ndio yamemrudisha nyumajaman tusimsahau kumpa pongez lalana maana baada ya kuingia nae kaleta mchango mkubwa sana
Nakumbuka Kabla ya kuja Jürgen Klopp wengi wetu tulikuwa na Mediocre Mentality that's why hata usajili wa Lambert tulikuwa tukiona ni sawa.
But baada ya kuja Klopp na kutuletea watu kama Fabinho, Salah, Mane, VVD na Alisson ambao ni Calibre ya World Class player, tulipaswa kuondokana na zile Mentality za Mediocre ambazo ni za Midtable.
But kwa baadhi ya Washabiki wa Liverpool mpaka sasahivi bado wanashikilia zile Mentality za Midiocre za Timu ndogo.
Ndiyomana unapomwambia Sifa ya Timu kubwa hata kama itakuwa na Mchezaji mzuri kiasi gani basi wakiamua kusajili wanasajili upgrade yake aliyebora zaidi kuliko yeye! Basi hawa washabiki wanaoendeleza Small Team Mentality watakazania kukusifia LALLANA, ORIGI na MILNER na kuwa tayari Timu isisajili kwa sababu ya wachezaji hawa.
Hiyo ni SMALL TEAM MENTALITY
Hahaha na hatutamwangusha babu Wenger..Babu alienda kutu support, Babu Wenger anaiombea Liverpool ichukue ubingwa msimu huu, anamkubali Klop, View attachment 1299965
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Yani Furaha yangu imeingia Dosari muda huu.
Basi la Prince limetoka Dar Jana likiwa limebeba Abiria waendao Mwanza, Limeharibika Morogoro na Kufika Singida Leo, Hatimae Leo limepata Ajali hapa Singida na Tuna majeruhi wengi tu Waliopelekwa Kituo cha Afya Ikungi - Singida.
Ohh dear kipindi hiki familia nyingi wanakwenda kula sikuku na mabasi nao hua lesi kweli.. Barabarani magari ni mengi mno..Dah! Yani Furaha yangu imeingia Dosari muda huu.
Basi la Prince limetoka Dar Jana likiwa limebeba Abiria waendao Mwanza, Limeharibika Morogoro na Kufika Singida Leo, Hatimae Leo limepata Ajali hapa Singida na Tuna majeruhi wengi tu Waliopelekwa Kituo cha Afya Ikungi - Singida.
Kwani huyu Gabriel Batista bado anacheza mpira...
mimi kwangu mchezaji bora ni gomez..game ya jana alicheza namba yake na namba ya anorld na zote alizimudu yule namba 11 wa flamingo alimzidia dogo....
Kaumia anaipambania team maniHuyu Chamberlain ni Mzuri lakini bora auzwe tu arudi japo Arsenal coz injuries zake zimeshakua kero.
Bora umemwambia na wewe, mie ninesema jamaa akawa mkali! Sentensi yako ya kwanza imejaa hekima!Kaumia anaipambania team mani
Your words have touched me aisee niwe mkweli
Sent using Jamii Forums mobile app
pale alikuwa anapambana?Haya siyo maneno mazuri kwa mshabiki unayeheshimika hapa jukwaani. OX ameumia akiwa anaipambania team. Na ile foul ulitaka aikwepeje? Ni kumuombea arudi mapema
Sent using Jamii Forums mobile app