ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,989
Ve
Bahati mbaya Sana kwa Ox.
Bahati mbaya Sana kwa Ox.
Duuu nilihisi upo tzSaa 7 mchana mkuu
Jumamosi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sijaelewa salah alipewa tuzo kwa lipi why bobby hajapata hata moja. Au walimpa chumbani
Waarabu waliamua kumpa mwarabu mwenzao ili uwanja ufurahi tuzo ilimfaa bobby au hata HENDOHio tuzo waliitoaje kwa Salah,wkt hana goli hata moja
Mane Kaassit goli, baada ya kupokea pasi ya Hendo
Alisson in 2019:
Copa America winner [emoji818]
Champions League winner [emoji818]
Club World Cup winner [emoji818]
Yachine Trophy [emoji818]
FIFA goalkeeper of the year [emoji818]
FIFA TOTY [emoji818]
UEFA TOTY [emoji818]
Copa America TOTT [emoji818]
PL Golden Glove [emoji818]
Copa America Golden Glove [emoji818]
Joint high CL cleansheets [emoji818]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jogoo la shamba lawika mjini
Hongereni wapenzi wa Jogoo
Hio tuzo waliitoaje kwa Salah,wkt hana goli hata moja
Hio tuzo waliitoaje kwa Salah,wkt hana goli hata moja
Haya siyo maneno mazuri kwa mshabiki unayeheshimika hapa jukwaani. OX ameumia akiwa anaipambania team. Na ile foul ulitaka aikwepeje? Ni kumuombea arudi mapemaHuyu Chamberlain ni Mzuri lakini bora auzwe tu arudi japo Arsenal coz injuries zake zimeshakua kero.
Hata Hendo nayeye amepokea Pasi kutoka kwa Mtu mwengine ambaye utahitaji kumpa sifa! Na ndiyomana kwenye Stats tunaangalia watu wawili tu, aliye assist na aliyefunga tu. Ukisema uangalie build up ya goli basi unaweza kuta wachezaji wote 11 wamehusika while Golikipa ndiye muhusika namba 1 kwani ndiye aliyeanza mpira.
Waarabu waliamua kumpa mwarabu mwenzao ili uwanja ufurahi tuzo ilimfaa bobby au hata HENDO
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi anavyoipenda team, sidhani kama atakubali kuuzwa huyo.Huyu Chamberlain ni Mzuri lakini bora auzwe tu arudi japo Arsenal coz injuries zake zimeshakua kero.
Ha ha ha ha ha ha ha ha...Kuna shuti moja Hendo alipiga golikipa akaliona, nilishukuru sana maana lingeingia humu ndani tungekoma.
Haya siyo maneno mazuri kwa mshabiki unayeheshimika hapa jukwaani. OX ameumia akiwa anaipambania team. Na ile foul ulitaka aikwepeje? Ni kumuombea arudi mapema
Sent using Jamii Forums mobile app