Jamaa ana bahati mbaya sana aisee...Sihitaji taarifa rasmi wa nini ninachokijua mimi ni kuwa CHAMBERLAIN msimu wake umeisha leo.
... sana!Ila Bobby ni Muhuni aisee.
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Bobby kafunga Goli akatufikisha Fainali
Bobby kafunga Goli akatupa Kombe
But Tutasikia Misifa ya kumwaga Kuwa Captain Hendo katupa Kombe
Atajijua mwenyewe, anakujaje kwenye mji wa watu anaanza kututukania timu yetu? Kwani hii thread ni Manure au Chealsick?Siku hizi haya malugha yanaruhusiwa?
Mwamba umeunganishia hadi za magetoni kwako, huyo dogo halaliKlopp:Serial trophies collector and Captain Hendo is a serial trophies lifter
*****!!View attachment 1299526View attachment 1299527View attachment 1299528View attachment 1299529View attachment 1299530View attachment 1299533
Sent from my iPhone using JamiiForums











Mwamba umeunganishia hadi za magetoni kwako, huyo dogo halali