Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Tunashukuru Mkuu...Congratulation Liverpool for winning CLUB WORLD CUP
Tayari mwaka huu 2019 Tumeshinda Matatu ya nguvu...
Tunashukuru Mkuu...Congratulation Liverpool for winning CLUB WORLD CUP
Hahaha medal kama zote...Adrian kapata Zari kubeba Makombe Uzeeni
Huu ugomvi ngoja man u waje walete data zao
Nimeeleza kwa nn muda huu mko vizuriSio kipindi cha mpito sisi tupo vizuri kuliko wao.hakuna cha mpito wala nini
Kwani mkuu kuna mtu kawazuieni nyie kuwa vizuri?
Babu alienda kutu support, Babu Wenger anaiombea Liverpool ichukue ubingwa msimu huu, anamkubali Klop,Congratulation Liverpool for winning CLUB WORLD CUP
2005 nazani tulifungwa na independenteSikuzote Wabrazil uwauwe kupitia Mbrazil mwenzake.
Waulaya wanapata shida kuwamaliza Wabrazil.
Mwaka 1981 tulipofungwa na Flamengo hatukuwa na Mbrazil mwenye Akili.
Mwaka 2005 tulipofungwa na Sao Paulo hatukuwa na Mbrazil mwenye Akili.
But mwaka 2019 tumepata Wabrazil wenye Akili ndiyomana Bobby akawamaliza Wabrazil.
Maneno yaliyojaa ukakasi haya! Basi hata Nabby auzwe, Fabinhio auzwe, Matip auzwe? Tusiwe na maneno ya kuporoka kama mishabiki ya Manure!Huyu Chamberlain ni Mzuri lakini bora auzwe tu arudi japo Arsenal coz injuries zake zimeshakua kero.
RugeHuyu ni nani
Maneno yaliyojaa ukakasi haya! Basi hata Nabby auzwe, Fabinhio auzwe, Matip auzwe? Tusiwe na maneno ya kuporoka kama mishabiki ya Manure!