Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Checking for where it says Aston Villa VS Liverpool U23 . History will have it that Aston Villa beat Liverpool by 5 goals to nil

Itakusaidia wahiyo mkuu,au ndio watapewa kombe kama history itaonesha hivyo? Aina maana tena hiyo ndio imeishia hapa .aende akachukue kombe sasa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aisee likizo noma. Nimegonga nyagi yangu nikalala siku nzima. Nawasha simu naangalia livescore... naona kitu cha tano bila. Kabla sijazimia nikaangalia line up.... Ah keimamae nikawasha tena chupa jingine la nyagi kiroho safi kabisa...
We mzee bhna

Sa hvi ndo nmeijua id yako nyingine.... Kwa nini asa ulkua unanficha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dont panic mkuu history haitasahau hicho kipigo. Hivi mbona mnalilia sana kombe take a chill pill,cup ya epl inawasubiria
Itakusaidia wahiyo mkuu,au ndio watapewa kombe kama history itaonesha hivyo? Aina maana tena hiyo ndio imeishia hapa .aende akachukue kombe sasa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mashabiki wa Arsenal:: hawa madogo waliofungwa 5, ndio waliowatoa, tulimuongeza Milner na Origi tu

Chamberlain mbona alifunga goli shuti la mbali,kama auna taarifa vizuri ni bora ukaa kimya tu.hao watoto average ya umri wao ni miaka 19, yaani hapo ni 16 mpaka 19 . Unachomaanisha kikosi kilikuwa sawa isipokuwa milner na origi?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aisee likizo noma. Nimegonga nyagi yangu nikalala siku nzima. Nawasha simu naangalia livescore... naona kitu cha tano bila. Kabla sijazimia nikaangalia line up.... Ah keimamae nikawasha tena chupa jingine la nyagi kiroho safi kabisa...
Karoho kanauma japo haina shida as long as ratiba yetu haikuruhusu timu kubwa kushiriki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maneno ya kuwa tumefungwa kwasababu ni:

Kombe ni kombe la Mbuzi
Kombe lisilo na maana
Kombe hili hatulitaki
Na maneno mengine mfano wa haya yote hayana maana na sio maneno ya Kimpira.

Kabla ya hii game hapakuwa na Maneno haya.

Tukubali tumefungwa.
 
Nikiwa Ndani ya KANDAHAR from Arusha kuelekea Dodoma ambapo leo Mtanange nitauangalia ndani ya Dom

Image.png
 
Haya maneno ya kuwa tumefungwa kwasababu ni:

Kombe ni kombe la Mbuzi
Kombe lisilo na maana
Kombe hili hatulitaki
Na maneno mengine mfano wa haya yote hayana maana na sio maneno ya Kimpira.

Kabla ya hii game hapakuwa na Maneno haya.

Tukubali tumefungwa.
Yes huo ndio uwanamichezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom