Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍👍👍👍👍👍 Tena King Cobra au Black MambaHivi vitoto vya kuku vikiwafunga astonvilla
Basi nitaamin mtoto wa nyoka ni nyoka
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍👍👍👍👍👍 Tena King Cobra au Black MambaHivi vitoto vya kuku vikiwafunga astonvilla
Basi nitaamin mtoto wa nyoka ni nyoka
Sent using Jamii Forums mobile app
thank you so much boss!Mkuu nilipost nyuma huko update ya matip ,tafuta hiyo post kama utaweza alitakiwa kukosa mechi fulani,ukiangalia utajua anarudi lini. Ni December mwishoni au January mwanzoni .
Sent from my iPhone using JamiiForums
noted with thanks!Ohh man... Initially alikua awe nje ya uwanja Kwa wiki 6 sasa kwa vile ni jeraha la kujirudia yaaani aliumia akapona aafu akaumia tena goti hilo hilo, sasa kutokana na hilo amepewa muda wa kutosha apone aafu atafute match fitness ina maana kwa kurejea uwanjani ni kuanzia 2020 Januari...
Kwenye sweet 16 watupe Real/Atletico madrid
Sent from my iPhone using JamiiForums
Real madrid anamfungashia city virago mapema sanaThe trip to wanda metropolitano for reign champions again.
Namwonea huruma zizou, pep lazima amfukuzishe kibarua chake.
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hii game nyepesi sana kwa city. Muda utaongea. Tuombe uzimaReal madrid anamfungashia city virago mapema sana
wazee wa uefa hawatakubali kuishia 16
Sent using Jamii Forums mobile app
kama walikubari mbele ya Ajax kwanini wasikubari mbele ya Citizens?Real madrid anamfungashia city virago mapema sana
wazee wa uefa hawatakubali kuishia 16
Sent using Jamii Forums mobile app
The trip to wanda metropolitano for reign champions again.
Namwonea huruma zizou, pep lazima amfukuzishe kibarua chake.
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Nawaona Dortmund,Man City,Atletico,chelsea na lyon wanavyojiona wasio na bahati kabisa ila Napoli akimkazia barcelona pale Nou camp basi anapita maana barcelona away huwa ni komedi sana