Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,165
Walichobakiza sasa ni kushangilia timu za Women League maana huko ndiko wanashinda. Huku kwa wanaume tumewanyoosha! Manure wana taabika sana mwaka huu! Kufungwa leo kwa hao madogo wala hatuwezi kuwalaumu hata kidogo, KALA BAO ni kitu gani kwetu? We are aiming high!!Wamekaa mwaka mzima wakiombea Liverpool FC afungwe, hajafungwa...sasa furaha yao ni leo kwa watoto wetu. Watu wa hivi ni kuwapuuza tu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app


