Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Tusubiri game
January uwakika apo..December aijafika tu ,maana mlisema December tutapotea.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mumemchukua yule jamaa aliyemzumgusha VVD? yule wa Soulzabarg?Mkuu mauchungu yamepungua mpaka unaonekena humu..
Yaliyojiri wakati umejipiga ban
Tuliwafunga Blue wenzio majirani wetu
Reds Majogoo OG wametinga 16 bora UCL..
Klopp kaongeza mkataba mpaka 2024
Milner kaongeza mkataba mpaka June 2022..
Tumenasa kifaa cha kijapani mapema kinatua Anfield..
Tumemfunga Watford na Kuongoza EPL Kwa tofauti ya pointi 10...
YNWA
Inaonesha ulikuwa unaweweseka kuisubiri Liverpool ifungwe?
Kwavile hakuna Mtu anayesubiri kuiona Chelsea ikifungwa! Hii kuisubiri Liverpool ifungwe ina maana kubwa sana katika kutafsiri Ukubwa wa Timu.
Itakuwa mkeka umechanika..... Si kwa maneno hayoMsisingizie ni watoto,hii ni Liverpool tu......leo Aston Villa wanaweza kuwapa week
Tayari kafanya vipimo anatua tarehe 1 January 2020...
Baada kikosi C kufungwo jana umerudi mazima ndugu...
So henderson today is our Centre back!!..
Huyu Germany nazi ni hatari.. anaeza change his players kwenye kila position
Rotate inaendelea.starting XI v Monterrey: Alisson, Milner, Henderson, Gomez, Robertson, Keita, Lallana, Oxlade-Chamberlain, Shaqiri, Salah, Origi
Subs: Adrian, Lonergan, Williams, Alexander-Arnold, Jones, Mane, Firmino
Virgil van Dijk is ill