Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Milner makes his 2⃣0⃣0⃣th appearance for the Reds tonight
Mbna kwenye press yake leostarting XI v Monterrey: Alisson, Milner, Henderson, Gomez, Robertson, Keita, Lallana, Oxlade-Chamberlain, Shaqiri, Salah, Origi
Subs: Adrian, Lonergan, Williams, Alexander-Arnold, Jones, Mane, Firmino
Virgil van Dijk is ill
Ngoja tuone.starting XI v Monterrey: Alisson, Milner, Henderson, Gomez, Robertson, Keita, Lallana, Oxlade-Chamberlain, Shaqiri, Salah, Origi
Subs: Adrian, Lonergan, Williams, Alexander-Arnold, Jones, Mane, Firmino
Virgil van Dijk is ill
Amefanya na mazoezi ila sasa kaumwo tena ndogo hivyo hana namna anaikosa gemu ya Leo..Mbna kwenye press yake leo
Kasema vvd ni mzm kabsa and ginn may play tomorrow... Nmemsikia kwa masikio yangu mawili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmefungwa kwa kikosi kipi?Haya maneno ya kuwa tumefungwa kwasababu ni:
Kombe ni kombe la Mbuzi
Kombe lisilo na maana
Kombe hili hatulitaki
Na maneno mengine mfano wa haya yote hayana maana na sio maneno ya Kimpira.
Kabla ya hii game hapakuwa na Maneno haya.
Tukubali tumefungwa.
Wapi?Keita anatunyanyua hapa.
Baada kikosi C kufungwo jana umerudi mazima ndugu...
Hahaha ndio sie hakuna kubisha ndugu...Mkuu kwani kikosi C siyo liverpool?
Sisi tunajua liver katandikwa 5 za uhakika.