GwamahalaJR
JF-Expert Member
- Jul 18, 2019
- 414
- 769
walichowafanyia FA si jambo la haki hata kidogo
Leo week itawahusu
Haya siyo mashindano ya watoto,hapa ni aston villa vs Liverpool
. Sijui utakujatena kufanya nn humu.na msimu huu mtaumia sana roho kama sio kufa kabisa.Tumepoteza game( 5/0).hivi game dhidi ya aston villa bado ipo kesho au iko postponed?
kama ipo, wachezaji kikosi namba moja wapo Qatar tangu jana vipi issue ya bench la ufundi ni nani ataongoza kikosi cha cheki ikiwa klopp amesafiri na timu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya makombe ya hivi tunawaachia arsenal na man u wajifariji nayo.yaani liverpool tukimbizane na carabao cup?hii ni dharauMsisingizie ni watoto,hii ni Liverpool tu......leo Aston Villa wanaweza kuwapa week


Haya makombe ya hivi tunawaachia arsenal na man u wajifariji nayo.yaani liverpool tukimbizane na carabao cup
Leo tukishinda tunakipiga na Flamengo kwenye Fainali
Aisee likizo noma. Nimegonga nyagi yangu nikalala siku nzima. Nawasha simu naangalia livescore... naona kitu cha tano bila. Kabla sijazimia nikaangalia line up.... Ah keimamae nikawasha tena chupa jingine la nyagi kiroho safi kabisa...
Ni udhalilishaji wa soka. Ni kama kutaka Barcelona ipiganie CECAFA cup.Haya makombe ya hivi tunawaachia arsenal na man u wajifariji nayo.yaani liverpool tukimbizane na carabao cup?hii ni dharau
Sio kila uchafu ni mzuri. Uchafu mwingine unaambatana na chawa