Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Itakuwa na waliomuweka hapo Luverpool pia hawana hadhi !Mimi nitabakia na Mtazamo wangu uleule Kuwa Henderson ni mchezaji mbovu na hana hadhi ya kucheza Liverpool
Wakati huo wewe ukiwa bench unamsaidi Klopp !Muda utaongea, huu ni msimu wake wa mwisho kuwa anaanza.
Msimu ujao ataanzia benchi.
When this fuvken club will lose,
Hivi kushanda kila game mnaona sifa sanaa mnakera bana
Sasa nin maana ya mashindano
Hey kloop this weekend just drop only two point,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan kila Mwana Liverpool anaiombea arsenal leo...nafsi zetu zinataman man city afungwe..mi ndo nawaogopa sana kuliko hawa Leicester City![]()
Kila Mthu athinde methi dhake
Ile sio assist. Orig kataka kufunga .Haikuwa riziki Moira ukamkuta Egyptian.Mnanichanganya mjue, embu soma post #80014
Pole. Unavyo comment Mara nyingi watu tunaona Kama unalaumu.Samahani Mkuu!
Ivi shule ulikuwa ukihudhuria kwenye somo la KISWAHILI au uliamua kukomaa na PHYSICS & MATHEMATICS tu?
Coz umenijibu kama kwamba Mimi ninamlaumu/Ninamponda Sadio Mane?
So kwa hali inavyokwenda humu kwenye Uzi watu hawatotaka uelezee chochote kuhusiana na mchezaji.
Nimesema tu kuwa Mane "anaingia kwenye Kipindi cha Mpito"
Sasa nashindwa kutambua watu kauli hii sijui wameifahamu vipi au wanaitafsiri vipi.
Anaweza asicheza.Club World Cup squad confirmed tayati nacho ni : Alisson, Van Dijk, Wijnaldum, Milner, Keita, Firmino, Mane, Salah, Gomez, Adrian, Henderson, Oxlade-Chamberlain, Lallana, Lonergan, Shaqiri, Robertson, Origi, Jones, Alexander-Arnold, Williams.
Am happy gini is in
Sent using Jamii Forums mobile app
"wale tutakaoishangilia Aseno leo dhidi ya Mansite tukutane hapa......"
hahahaaa....... watu noma sana!
Nike wanajipanga kuingia kwa kishindo tetesi ni kwamba atue Mbappe au Neymar...
Ishu ni Klopp aafiki na Real(Mbappe) na Barca(Neymar) wachemke..
Upo uwezekano PSG kudai Mane aunganishwe kwenye dili ya yeyote kati ya hao wawili..
Kwangu bora tuwakose na Mane abakie..
guys jana niliulizia up date kuhusu matip ila sikupata mrejesho wowote sasa sielewi ni kwamba hakuna anayejua kuhusu matip au mmeignore!
Sent using Jamii Forums mobile app