Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na kwenye game ya watford akipiga pasi nyingine ndefu ikazaa goli watasema apewe mkataba wa maisha

Dah! Na misifa atakayomwagiwa usipime!

Sasahivi ana assists 2 tu kwa game 15 za EP alizocheza basi tumekosa amani.
Wakati Keita katokea injury kacheza game 1 tu kapata Goli 1 na assist 1 lakini kimya.

Sijui Hendo Siku atakayofunga na Kuassist katika game 1 itakuaje.
 
Hapa ndiyo tulipofikia!

Tunatafuta weakness za mchezaji aliyecheza mechi 2, Kafunga magoli 2 katoa assist 1, MOTM games zote 2 na katoka na Clean sheet 2.
Yani tupo tayari kusifia mchezaji aliyecheza mechi 25 na kutoa assists 2 na kufunga goli 1 because tu eti kapiga pasi moja ndefu.

Assists na Man City na bao na Spurs sio sawa na kucheza vyema na Sozibag na Bournmouth!
Sozibag na Bourn ni trashes

5b9515bb-a512-4804-9443-e5a95d83240f.jpg

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yani naendelea kusema! Hendo ni shit player

Who cares kama Klopp anampa kila game?
Sisi tukusikie wewe kweli kwa mchezaji ambaye Klopp anampa kila game?
Wewe unajua nn kwenye soka manejimenti?
Hendo ni Captain wetu na kila mechi kubwa ana anza sababu Klopp anajua kuliko wote hapa kwenye soka menejiment

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Duuuh kuna watu mna roho mbaya ! Umesahau cross ya Hendo iliyomaliza Man City !?

Kila mechi kubwa ataanza Hendo
Klopp ndiyo anajua why
Kujaribu kuingilia kazi za kitaalam za Klopp ni UPUUZI
Hendo anabeba Club World Cup
Hendo anabeba EPL
Atakuwa Captain bora zaidi kuiongoza Liverpool ktk modern soccer history!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sisi Liverpool HALISI
We love you HENDO
Our fantastic Le Capitane
Tuongoze tuchukue EPL
Please please please

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi nasimama na klopp aisee. Mchezaji mwenye kucheza mechi nyingi bila kuumia ndiyo nakuwanaye kwenye mipango. Hendo so far ametusaidia kulificha pengo la fabinho. Keita tutamsifia leo utashangaa kusikia kesho majeruhi. Ajiweke fiti kwanza acheze muda mrefu. Akifikisha mechi kumi kwa hichi kiwango bila kuumia atatusaidia sanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Na misifa atakayomwagiwa usipime!

Sasahivi ana assists 2 tu kwa game 15 za EP alizocheza basi tumekosa amani.
Wakati Keita katokea injury kacheza game 1 tu kapata Goli 1 na assist 1 lakini kimya.

Sijui Hendo Siku atakayofunga na Kuassist katika game 1 itakuaje.
Team hendo no typical characteristics za wale waliokua OBSESSED na mediocrity
 
IMG_6594.JPG

Upo kwako Kasulu-Kigoma unataka tukuamini wewe zaidi ya akina VVD
Upuuzi mtupu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sasa mahesabu yahamie kwa Watford
At least tuwapige 5 - 0

Line-Up ningependa iwe:

MANE - ORIGI - AOC

KEITA - GINI - HENDO

ROBBO - VVD - GOMEZ - TAA

ALISSON

Subs:
Adrian
Ki-Jana
Milner
Jones
Bobby
Salah
Xhaqiri

Hapo lazima Watford alale 5
Mi ningependelea ile iliyoanza jana. Labda Gomez kwa Lovren

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Na misifa atakayomwagiwa usipime!

Sasahivi ana assists 2 tu kwa game 15 za EP alizocheza basi tumekosa amani.
Wakati Keita katokea injury kacheza game 1 tu kapata Goli 1 na assist 1 lakini kimya.

Sijui Hendo Siku atakayofunga na Kuassist katika game 1 itakuaje.

Tena ndo afunge kama lile goli alilowafunga Chelsea 3yrs back (if am not mistaken) pata kuwa hapatoshi
 
Wanasema hata saa mbovu kuna muda inapatia majira sajihi.

Ikitokea hivyo haina maana kwamba ndiyo imepona. Kwangu Hendo ataendelea kuwa Hendo. Keita ameshakuja kuchukua namba na hakuna wa kumzuia.

Mimi nitabakia na Mtazamo wangu uleule Kuwa Henderson ni mchezaji mbovu na hana hadhi ya kucheza Liverpool
 
Wanasema hata saa mbovu kuna muda inapatia majira sajihi.

Ikitokea hivyo haina maana kwamba ndiyo imepona. Kwangu Hendo ataendelea kuwa Hendo. Keita ameshakuja kuchukua namba na hakuna wa kumzuia.
Na sisi na Klopp tunasema hakuna mchezaji aliyebora kuliko mwingine, tutaendelea kuwabadilisha hivyo hivyo. Hakuna aliyekuja kuchukua namba ya mwenzake! Utaratibu huu nauunga mkono asilimia zote!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom