Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hujanijibu, je niache kushangilia?
Kushangilia ama kutokushangilia ni uamuzi wako. Na wala hoja yangu haipo katika kushangilia ama kutokushangilia.

Msingi wa hoja yangu nimekwisha kuuweka wazi.

Kusaini kandarasi mpya si kigezo ama Guarantee kwamba kocha huyo atakaa katika klabu husika mpaka mkataba wake utakapoisha.
 
Its all about Nobert
It's all about Enjoyable football
It's all about winning
It's all about cups
It's all Minamino

Its all about LIVERPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOL

Liverpooooool family football club.

It's about 7th and 19th...

Its our yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaard
BRING THEM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
When this fuvken club will lose,

Hivi kushanda kila game mnaona sifa sanaa mnakera bana

Sasa nin maana ya mashindano

Hey kloop this weekend just drop only two point,

Sent using Jamii Forums mobile app

Angalau siku hizi umeshakubali matokeo!

Si Kazi rahisi kutabiri mabaya kwa miezi Mitano (August - December) halafu yasitokee.
 
Tutadrop points tu mkuu usijali but hii inaweza kuja kutokea baada ya misimu au miaka kadhaa hapo mbeleni, ni suala la muda tu endelea kuomba mabaya
When this fuvken club will lose,

Hivi kushanda kila game mnaona sifa sanaa mnakera bana

Sasa nin maana ya mashindano

Hey kloop this weekend just drop only two point,

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Its all about Nobert
It's all about Enjoyable football
It's all about winning
It's all about cups
It's all Minamino

Its all about LIVERPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOL

Liverpooooool family football club.

It's about 7th and 19th...

Its our yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaard
BRING THEM

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana Liverpool .hamna wa kukushinda ubingwa ni wako tuu mwaka kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo porojo tumewaachia nyie
Klopp anampa ndiyo sisi wengine tuna angalia!
Wewe unajua soka kuliko Klopp anayempa Hendo kila game kubwa?
Wewe unajua kuliko Southgate anayempa team ya Taifa kila game kubwa?
Makocha wote hawa wanampendelea ila ww upo kwako Bulyankulu-Tabora ndiyo unajua zaidi?
UPUUZI mtupu!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata makonda anapendwa na magufuli but haimanishi makonda ndio kiongozi bora na mzuri kuliko viongozi wengine.
Huyo hendo kupangwa na klop na southget haimanishi kuwa ni bora kuliko wengine maana kuna makocha wengi tu wanao mdisi hendo.

Hata hivyo sioni hoja yoyote hapa ya msingi maana angekuwa mzuri hata hao wazungu wenzeke wasingekuwa wanamuongelea kuwa anazingua bali wangekuwa wanasema kama wanavyosema kwa wachezaji wengine kuwa daa leo salaa kazingua au da leo VVD kazingua
 
Jibu mjarabu kabisa

Similar Discussions

Back
Top Bottom