Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama hii idea ya Klopp ya signing young players with potential ku supplements aging players then tutakua pazuri mno tuedako hata Klopp aking'atuka...

Hii phase lazima iwe Well planned...
Baadae ya Klop 2024 SG anakabidhiwa team anaendeleza team. Wakati huo captain wetu atakuwa TAA. Tuombe Afya Njema
 
Tunapozungumzia mchezaji kwa tukio flani ndiyo tunapoonekana Washabiki wa Liverpool ni sawa na wa Chelsea hatujui kitu.

Hapa tumezungumzia kuwa Form ya Mane imeingia katika kipindi cha mpito ambacho kila mchezaji ukitoa Messi na Ronaldo lazima kimpitie.

Hatujazungumzia kuhusu Mane kukosa nafasi, wala hatukusudii kuanzisha Mjadala wa Mane vs Salah nani Zaidi, wala hatukusudii kumponda Mane.

Only tumenotice kitu katika performance ya Mane kuwa ameshaingia katika transitional period ya kuwa off form.

Mshabiki wa Liverpool hawezi kuanzisha mjadala wa kulinganisha Salah vs Mane, Mane vs Bobby, Salah vs Bobby.
King! Mane katoa assist ya goli la pili. Alitoa V pass kwa Divok ambaye aliparaza Moira ukamkuta Egyptian onside.
Kumbuka goli la Mane limekataliwa na VAR.
Wachezaji wetu walitumia Nguvu kubwa Austria against RB kwa ushindi wa ugenini.
Let us give them ample time. Siku hazilingani #King.
All in all 3 points is vital. Draw ya King Power Leicester itawapunguzia wachezaji pressure.
 
Baadae ya Klop 2024 SG anakabidhiwa team anaendeleza team. Wakati huo captain wetu atakuwa TAA. Tuombe Afya Njema
Ni sahihi Kwa kusajili young players kuna tupa solid platform ya kujenga kikosi imara cha vijana huku wakongwe wakiwapa uzoefu na ari ya ushindi na maana halisi ya "This is Anfield"...

Aidha atakuja SG ama mwingine dalili ni kwamba atakuta kikosi cha kazi kazi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom