Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kinachowakuta Manure ni buridani tosha kwangu.

Hata hivyo siyashangirii Miscoursers ya Everton hata kama ndiyo yanayosababisha shida kwa Manure.
 
Timu England ni Chelsea tu..

Ninyi Liverpool munaiga tu ..

Raundi ya pili mutapotea tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mauchungu yamepungua mpaka unaonekena humu..

Yaliyojiri wakati umejipiga ban

Tuliwafunga Blue wenzio majirani wetu


Reds Majogoo OG wametinga 16 bora UCL..

Klopp kaongeza mkataba mpaka 2024

Milner kaongeza mkataba mpaka June 2022..

Tumenasa kifaa cha kijapani mapema kinatua Anfield..

Tumemfunga Watford na Kuongoza EPL Kwa tofauti ya pointi 10...

YNWA
 
Kwa Neymar bora nibaki na Henderson kuliko kusajiliwa Neymar akaja kuiharibu dressing room.

Lakini kwa Mbappe! Nipo tayari timu nzima iondoshwe abaki VVD na Alisson peke yao.
Hahaha lol fingers crossed King...

Kwangu nitabaki na huyu workhouse Mane the money man...

Kibishashara Mbappe makes more sense kwa Nike...

YNWA
 
guys jana niliulizia up date kuhusu matip ila sikupata mrejesho wowote sasa sielewi ni kwamba hakuna anayejua kuhusu matip au mmeignore!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ohh man... Initially alikua awe nje ya uwanja Kwa wiki 6 sasa kwa vile ni jeraha la kujirudia yaaani aliumia akapona aafu akaumia tena goti hilo hilo, sasa kutokana na hilo amepewa muda wa kutosha apone aafu atafute match fitness ina maana kwa kurejea uwanjani ni kuanzia 2020 Januari...
 
Nike wanajipanga kuingia kwa kishindo tetesi ni kwamba atue Mbappe au Neymar...

Ishu ni Klopp aafiki na Real(Mbappe) na Barca(Neymar) wachemke..

Upo uwezekano PSG kudai Mane aunganishwe kwenye dili ya yeyote kati ya hao wawili..

Kwangu bora tuwakose na Mane abakie..
Yaani binafsi Bora hata na Hilo dili la Nike livunjike turudi kwa NB kuliko kumtoa mane na pesa ili kumleta mbape...kwanza ni dharau hata kufikiria tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu hamsikilizi mnafiki, yaani wale washindani wako wa karibu ndio unawaombea mabaya!
Sijawahi kushabikia timu nyingine yoyote Wingerezani zaidi ya Liverpool. Leo navunja mwiko kwa kushabikia timu tatu kwa pamoja...

Kila la kheri Arsenal the Gunners. Mungu awapiganie mshinde salama

Everton mbarikiwe sana na Yehova

Wolves Mungu ang'arishe meno yenu muweze kula kwa amani

Naomba na kushukuru. AMEN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nike wanajipanga kuingia kwa kishindo tetesi ni kwamba atue Mbappe au Neymar...

Ishu ni Klopp aafiki na Real(Mbappe) na Barca(Neymar) wachemke..

Upo uwezekano PSG kudai Mane aunganishwe kwenye dili ya yeyote kati ya hao wawili..

Kwangu bora tuwakose na Mane abakie..
Kwa sharti hilo nawabakie hukohuko.. kipi ambacho atatupa neymar mane hana?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kusahau, Mane mchezaji bora mwezi November, na Klopp kocha bora mwezi November
Mkuu mauchungu yamepungua mpaka unaonekena humu..

Yaliyojiri wakati umejipiga ban

Tuliwafunga Blue wenzio majirani wetu


Reds Majogoo OG wametinga 16 bora UCL..

Klopp kaongeza mkataba mpaka 2024

Milner kaongeza mkataba mpaka June 2022..

Tumenasa kifaa cha kijapani mapema kinatua Anfield..

Tumemfunga Watford na Kuongoza EPL Kwa tofauti ya pointi 10...

YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom