Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Strikers Rickie Lambert, Mario Balloteli na Benteke au kipindi kile cha David Ngog, Poulsen n.k
Yaaani nikiwaangalia nakumbuka tulipotoka enzi ya akina Jerry Spearing, Joe Cole nk..

They lack identity, direction, leadership, spirit is so down, yaani hope they get back to their best..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
guys jana niliulizia up date kuhusu matip ila sikupata mrejesho wowote sasa sielewi ni kwamba hakuna anayejua kuhusu matip au mmeignore!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu nilipost nyuma huko update ya matip ,tafuta hiyo post kama utaweza alitakiwa kukosa mechi fulani,ukiangalia utajua anarudi lini. Ni December mwishoni au January mwanzoni .

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yaani binafsi Bora hata na Hilo dili la Nike livunjike turudi kwa NB kuliko kumtoa mane na pesa ili kumleta mbape...kwanza ni dharau hata kufikiria tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mane has the strength
Yaani binafsi Bora hata na Hilo dili la Nike livunjike turudi kwa NB kuliko kumtoa mane na pesa ili kumleta mbape...kwanza ni dharau hata kufikiria tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Cant say otherwise.. Mbappe is super talented and all, commercial wise ndogo mauzo sana... But still being black seems tricky move for Nike to capture those figures they target but being Nike they have done their homework, and too bad super talents are in scarce of late so boy is wanted at PSG, Madrid, Barcelona and Liverpool name now is popping.. Plus haha ni kauza sura fulani.. Though ni proven at less competitive league that he is serial winner and winning the World Cup did him a damn big favour market wise we can't tell if its will work well for us the field maybe boy will turn up like his former team mate Fabby and make history..

But inspite of all that I would rather stick with the devil I know than the angels I don't know. Mane he is EPL proven, currently he is the fittest forward in the league..so much to say for this special boy.. So many times when the going get tough he has been our saviour.. He rarely in the doctors cubicle getting meds since he has mastered whtats it's takes to stay fit and Injury free in EPL...
 
Strikers Rickie Lambert, Mario Balloteli na Benteke au kipindi kile cha David Ngog, Poulsen n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Noma sana ndipo walipo Arsenal kwa sasa ma star wapo ila sasa quality ya kikosi kiko chini, quality ya kocha ni tatizo hajui afuate mfumo upi na atumiwe wachezaji Wa aina gani, pia defence yao kuna shinda tangu enzi ya Wenger hawa address hili tatizo ipasavyo...

Aisee enzi hizo wamepita wengi akina Kewell, Crouch, Cisse, Flanagan, Yossi Benyoun, Maxi, Meralis, aa shinda sanaa Kwa Arsenal mpaka waje wakae sawa itachukua muda...
 
Kwa sharti hilo nawabakie hukohuko.. kipi ambacho atatupa neymar mane hana?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili dili la Nike ni pana mno na wakati mwingine "wanaruhusiwa" ku dictate baadhi ya transfer za wachezaji hivyo pamoja na binafsi kumkumbali Mane usije shangaa Neymar akitua na Mane kwenda upande wa pili hii inakua sio sporting move kwa asilimia 100 mbali inakua business move kizaidi..

Ishu kuu hapa ni kwamba Perez kushajiandaa kumuongeza Mbappe kwenye listi ya galaticos... Kwa Zizou kua pale inaweza pelekea ndogo kutua kule zaidi..

Muda ukifika June 2020 itajulikana niaje..
 
Klopp on academy kids

In the moment we have four fantastic players really close to the first team: Rhian Brewster, Curtis Jones, Harvey Elliott and Neco Williams, plus we have Caoimhin [Kelleher] as a goalkeeper," said Klopp

That's five boys who I would have no problem to line up tomorrow if needed. Curtis now had his first [Premier League] minutes and of course they have time as well to develop, but that's four or five and we want to increase that number in the future..

YNWA...
 
Hili dili la Nike ni pana mno na wakati mwingine "wanaruhusiwa" ku dictate baadhi ya transfer za wachezaji hivyo pamoja na binafsi kumkumbali Mane usije shangaa Neymar akitua na Mane kwenda upande wa pili hii inakua sio sporting move kwa asilimia 100 mbali inakua business move kizaidi..

Ishu kuu hapa ni kwamba Perez kushajiandaa kumuongeza Mbappe kwenye listi ya galaticos... Kwa Zizou kua pale inaweza pelekea ndogo kutua kule zaidi..

Muda ukifika June 2020 itajulikana niaje..
...nilisikia PSG wanavyomzengea Mo salah ...Zidane na kumhusudu Sadio,
M.E Yuko kazini pia dogo kashajazwa chumvi kilichobaki kuchezesha karata zake.
Amini Vitendo zaidi ya maneno...Nike wanabadili upepo wa chama la wana..brand inatakiwa isambae dunia nzima tutapigana sokoni safari hii
mmangO_15724153581255023.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi game dhidi ya aston villa bado ipo kesho au iko postponed?
kama ipo, wachezaji kikosi namba moja wapo Qatar tangu jana vipi issue ya bench la ufundi ni nani ataongoza kikosi cha cheki ikiwa klopp amesafiri na timu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sina hakika kama ipo, maana ratiba haituruhu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mechi ipo kama kawaida kwenye Ratiba ya Carabao haijahairishwa.

Watacheza U23
 
...nilisikia PSG wanavyomzengea Mo salah ...Zidane na kumhusudu Sadio,
M.E Yuko kazini pia dogo kashajazwa chumvi kilichobaki kuchezesha karata zake.
Amini Vitendo zaidi ya maneno...Nike wanabadili upepo wa chama la wana..brand inatakiwa isambae dunia nzima tutapigana sokoni safari hiiView attachment 1293678

Sent using Jamii Forums mobile app
Let's hope any deal will upgrade what's we currently have and make us more competitive..

Nike has the muscle and cash to make those deals uzuri Klopp sio pushover hivyo he will okay whats makes us better..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom