zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,338
- 9,806
[emoji3][emoji3] yaani kila ukisema Liver anamalizwa yeye ndo anamaliza, au ndo namna yako yakuiombea ushindi Liverpool?
Liverpool mnafocus kwa City kuwanyima ubingwa
Kuna huyu mwendawazimu lecister City, ndio baba laoo
Any way ,ngonja tuwaone usiku wa maajabu NAPOLI anakuja kuwamaliza