Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi struggle ninayoizungumzia mm umeielewa kweli?
Answer is 'tumeshinda game'...
Yaliyobakia ni mbwembwe tu

By the way tulifunga Barcelona 4 - 0 Salah akiwa hakucheza, je 4 ni kistruggle?

Tulimpiga Bayern 3 - 1 ndani ya Arena, je 3 ni kustruggle?

Tulimpiga Chelsea 2 ndani ya Daraja Alison akiwa hakucheza, Je kushinda Darajani ni kustruggle?

Unahitaji mifano zaidi au inatosha hiyo?
 
Timu iliyocheza michezo 13 na ikashina 12 na kutoka sare 1 tu bila ya kupoteza mchezo wowote tunaambiwa kuwa inastruggle.

Kwa uchambuzi huu wa mpira bora niwe msoma comments tu.
Mimi nimesema liver anastruggle kupata matokeo katika baadhi ya matches nikatoa mfano mmoja tu nikataja match ya Crystal palace. Wewe umekuja kuna post umetolea mifano ya Barca na bayern, mifano ambayo ni irrelevant na kitu ambacho mimi nazungumzia...

Sasa hivi tena umekuja umesema eti mimi nimesema liver inastruggle. Sasa kama liver inastruggle man u naye anafanya nn...
 
Embu fafanua tukuelewe, ku struggle unakozungumzia unamaanisha nini?
Mimi nimesema liver anastruggle kupata matokeo katika baadhi ya matches nikatoa mfano mmoja tu nikataja match ya Crystal palace. Wewe umekuja kuna post umetolea mifano ya Barca na bayern, mifano ambayo ni irrelevant na kitu ambacho mimi nazungumzia...

Sasa hivi tena umekuja umesema eti mimi nimesema liver inastruggle. Sasa kama liver inastruggle man u naye anafanya nn...
 
4th December loading....
ndF-0DDp.jpeg
 
If we dont beat this fatigued & un-motivated City team to the TITLE this season, Then, God will never give us another clear opportunity ya kushinda hii TITLE.
Liverpool mnafocus kwa City kuwanyima ubingwa
Kuna huyu mwendawazimu lecister City, ndio baba laoo

Any way ,ngonja tuwaone usiku wa maajabu NAPOLI anakuja kuwamaliza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom