Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

we jamaa watu wanakutafuta kule kwenu halafu umejificha huku au ndio umeomba hifadhi ya kishabiki huku
Nipo mkuu majukumu mengi ..tunajenga timu..

Sisi ni title contender..

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
 
IMG_6692.JPG
 
Lampard na Klopp wanaweza chuana kwenye "manager of the month"

Man city awezi kupoteza Mara mbili, hata ivyo kikosi chetu bdo akijawa vizuri kweny big match..

Tutaendelea Ku impruvu taratibu..

Tuna uhakika sisi ni title contender..

Kila la kheri chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Angalau umekumbali kikosi chako bado kina na pungufu kadhaa lakini mna jitahidi,

Ni kweli Pep tena akiwa nyumbani apoteze mara mbili EPL ni ngumu Sana.

Mliwakamata vyema ishu ni umaliziaji na kutafuta kiki zisizo na maana...

Kwa kocha bora wa mwezi huu apewe Klopp au Rodgers..

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom