Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mawazo ya kipuuzi kabisa haya
Kwakuwa mnacheza na Napoli ndio mnaleta visingizio kuwa mnaitaka PL kuliko CL kwasababu mnajua hawa muda wowote wanaweza leta msiba....

Kama hamuitaki CL msipeleke timu uwanjani ,mjaindae na game ijayo ya PL...
 
bro neno kipao mbele bila shaka unalielewa vizuri.
Liverpool kuogopa mechi hua ni mwiko.

Nunua popcorn kaa uone nini maana ya mcheza kwao hutunzwa.
 
20191127_214848.jpg

walete walete Naples!
 
Yaani Klopp kwa kututia pressure anaweza aisee. Yaani hata Keita hayupo kwenye bench. Hiki kiungo cha ma-captain wetu kitakuwa na pumzi kweli ya kupambana na viungo wa napoli?

Tusubiri na tuone.
 
Yaani Klopp kwa kututia pressure anaweza aisee. Yaani hata Keita hayupo kwenye bench. Hiki kiungo cha ma-captain wetu kitakuwa na pumzi kweli ya kupambana na viungo wa napoli?

Tusubiri na tuone.
Moja ya wachezaji tunapoteza kipaji chake ni keita.
Huyu jamaa ni talented boy ila sijui nini kipo nyuma.
Bora aondoke anusuru kipaji chake tu bado sioni ni namna gani ataingizwa kwenye 1st ikiwa bado
Hendo
Millie
Lallana Wapo ,
 
Ndugu, mtu ana majeruhi kila kukicha. Au hilo hulioni?
 
Mkuu Keita anapata majeruhi kutokana na aina ya uchezaji wake, ukizingatia ligi ya uingereza inahitajika physical sana. Klopp anajitahidi ampe nafasi zaidi ya kutuliza majeruhi hataki kumuwahisha.
Naelewa hilo kaka
Je, Huoni kwamba sisi ndio tatizo ya majeraha yake? kwa namna moja au nyingine

kwa sababu akiwa Leipzig hakua injury prone.
 
Hakunaga game nyepesi kwa Napoli kma akicheza na Liverpool anafukua tu tope
 
Dear liverpool,nafahamu Napoli hamuwawezi...it's okay!

Nachowaomba ni kwamba,kama mtashindwa kushinda naomba muache Napoli basi wawafunge goli tatu tu

Mkeka wangu upo ICU
 
kwa mara ya kwanza najawa na wasiwasi wa mechi ya home msimu huu.

Haka kaupepo kanipitie mbali.

must win match.
Kwa kikosi kile wasiwasi hukwepi...

Anceloti did his homework very well..

Has killed our flanks mojo kabisa..

With or without the ball Napoli are in for a mission well planned...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom