Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dear liverpool,nafahamu Napoli hamuwawezi...it's okay!

Nachowaomba ni kwamba,kama mtashindwa kushinda naomba muache Napoli basi wawafunge goli tatu tu

Mkeka wangu upo ICU
Liverpool ni mke halali wa Napoli nimeweka tu Napoli aongoze both halfs najua mkeka lazima utiki.
 
Mkuu Keita anapata majeruhi kutokana na aina ya uchezaji wake, ukizingatia ligi ya uingereza inahitajika physical sana. Klopp anajitahidi ampe nafasi zaidi ya kutuliza majeruhi hataki kumuwahisha.
Endapo Keita hata break even msimu huu jomba nitaamini RB walitupiga si bure...

I had high hopes lakini mpaka sasa nakua njia panda na huyu jamaa..

Sijui abadili jerzy pengine ile namba 8 kwake inakuja na matarajio makubwa mno...
 
Naelewa hilo kaka
Je, Huoni kwamba sisi ndio tatizo ya majeraha yake? kwa namna moja au nyingine

kwa sababu akiwa Leipzig hakua injury prone.
Keita has never been my cup of tea since he joined us. he has blown so many chances presented to him by the gaffer.
to me he's already a flop (at least until this moment that's).

LFC vs Leipzig ni sawa na kulinganisha fisi na simba.

we're the champions of Europe and currently running away in the EPL title race.

Leipzig who??
 
IMG_6717.JPG
 
1-1 siyo matokeo mabaya hata kidogo
Vijana walipambana sana uwanjani
Sasa tunarudi ktk EPL
BHA Jumamosi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom