Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yo! will be going to our LFC vs Brighton game, this month, tarehe 30.

Ndiyo games zetu hizi walalahoi, tickets zinapatikana kwa urahisi sana!

Nilipata bahati ya kuwashuhudia peak SG na Torres, pamoja na kina Alonso etc, and as much as i wanted to, sikuweza kupata nafasi ya kuwashuhudia kina Suarez/Coutinho etc, but now i thank God, napata nafasi ya kuwashuhudia kina Faby/VVD/Firmino & Mane/Salah kwenye uzi wa LFC, though it will be against the mighty Brighton, lol. but i thank GOD.

I thank GOD, for everything.
Aiyaaaaa kwa hiyo unaenda kuwaona live UK???
 
Upendeleo kutoka kwa referees unakuja baada ya timu kuwa bora.

Ni kweli kwamba msimu huu tunapata upendeleo kupita timu zote EPL, lakini pia sisi ni bora kupita teams zote Duniani, I mean we are World's Best.

So tunatakiwa kutokasirika tukiitwa Mbeleko FC, ni kawaida.

Pia tunaposhindana anayeshindwa lazima atafute sababu za kujifariji nazo.
 
Juzi wakati naangalia tuzo za Fifa, nilifurahi sana Klopp na Allison kupata tuzo. I could have been so happy kama VVD angefunga hesabu but it was all good.

And then nikajifanyia tafakuri kwa ku-base mafanikio anayoyapata Liverpool FC, niko so so proud this time around kuvaa jezi ya Liverpool popote pale, nina jezi za rangi 4 na ninazivaa anytime anywhere bossing like there is only me and my Liverpool FC in this world.

Now, as a Liverpool fan, I want to find a way in which my achievements progress in the Liverpool's way. Change the way of thinking, acting and making targets that need a bit of stretching.

If Allison, Klopp and Liverpool have made it to the top, why can't I go to the top?

So Kops, let's put challenges to ourselves, let's believe that it is possible to be the best at anything that we are doing. Kama uko mahali wanapotoa zawadi kwa mfanyakazi bora, kwa nini usiwe? Kama unafanya biashara, kwa nini biashara isikuwe? Let's use this happy moments we getting from our beloved team to motivate and inspire ourselves. If you made a plan to get 2, fight for 3, and if 3 was a plan fight for 1+ more.

By May when Liverpool will be lifting an EPL cup, we will be lifting ours as well.

Best of luck guys, let's strive for greatness.

All the best to those who will join course

This was 25 September 2019, the lads are still on good course.

I believe.

YNWA.
 
Natest mitambo
Screenshot_20191111-201735.jpeg
 
Upendeleo kutoka kwa referees unakuja baada ya timu kuwa bora.

Ni kweli kwamba msimu huu tunapata upendeleo kupita timu zote EPL, lakini pia sisi ni bora kupita teams zote Duniani, I mean we are World's Best.

So tunatakiwa kutokasirika tukiitwa Mbeleko FC, ni kawaida.

Pia tunaposhindana anayeshindwa lazima atafute sababu za kujifariji nazo.
👌👌👌👌👌🤓🤓🤓🤓

Watahamisha Sana magoli...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom