BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
Subiri awapange Henderson, Gini, Millie Vs Everton ataona moto wakeKlopp still proves us wrong...
Yule dogo Sterling alikuwa anabambikiza handball apewe penati yaani pale Sterling alikuwa ale kadi kabisaSasa kama na wewe unaniuliza, nani ajibu mwenzake?
Unaona aibu kuitaja timu yako? Mtu anaejua mpira awezi kulalama eti VAR Imetubeba? Liverpool angekuwa ajafunga magoli kialali sawa .
Captain Hendo kaonyesha kama ni mtu wa mechi kubwa
Na Spurs kafunga
Leo bonge ya assist
Kafunga watu midomo
Ehehehehehe
Yaani kuna watu wapumbavu sana na wananikera
Wanaposema refa ametubeba kwanza washukuru sana wachezaji wetu waliridhika otherwise leo ingekua ni kilio kwao
Pili tujadili zile penati...
Penati ya kwanza... Bernardo silva altoa pass kwa mkono na wachezaji wa liva walinyosha mikono juu...
Penati ya pili mkono wa trent ulkua on its natural position hafu sterling ana michezo ya kitoto ya kushikishana mpira... It was better sababu trent mkono wake ulkua kwenye its natural position
Mashabiki uchwara wa bongo wanataka kusema wana akili kulko jopo la VARna refa aliye uwanjani... Wanakera
Ni wivu tu.. Ni dalili za kushindwaYaani kuna watu wapumbavu sana na wananikera
Wanaposema refa ametubeba kwanza washukuru sana wachezaji wetu waliridhika otherwise leo ingekua ni kilio kwao
Pili tujadili zile penati...
Penati ya kwanza... Bernardo silva altoa pass kwa mkono na wachezaji wa liva walinyosha mikono juu...
Penati ya pili mkono wa trent ulkua on its natural position hafu sterling ana michezo ya kitoto ya kushikishana mpira... It was better sababu trent mkono wake ulkua kwenye its natural position
Mashabiki uchwara wa bongo wanataka kusema wana akili kulko jopo la VARna refa aliye uwanjani... Wanakera
Leo mnagongwa, nyambafu sana,nahao unaodai kuwa ni watoto wanakuja kuchukua nafasi yako soon,jiandae kisaikolojia.
kama kuna sikunimemuona sterling ni fala basini leo.... anaacha kufunga anahangaika kushikisha watu mipira??
AsanteNaamini leo Bikira itavunjwa jiji la Manchester sio zuri tulianza kuilegeza.. na leo City anaimalizia hapo Nyumbani kwenu.
Natanguliza pole nzito
Chukua pain killerMan city 5-0 liverpool
Hii record inaweza kujirudia
![]()