Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Then you should replace Klop as the maneger
Hawa jamaa wanawalaumu sana Henderson na Lalana lakini wanashindwa kutambua Wijnaldum ndio tatizo kwa sasa katika Midfield ya Liverpool,anapooza sana mpira na hajitumi jinsi inavyotakiwa.Ni muda muafaka sasa wa Liverpool kumdrop Wijnaldum na kuanza kumpanga aidha Lalana ama Ox.
 
TITLE RACE.

Today was the turning point kwenye TITLE RACE.

Yes, the TITLE RACE, has officially begun today, and i'm so excited.

Matokeo yetu na City kwa siku ya leo, yameonesha determination ya kila team katika mbio za ubingwa, we want to win it for the first time in 29 years, & they want to retain it kwa mara ya kwanza mfululizo (should be a record)..

Hence, inafanya game ya Anfield kuwa ta kufa na kupona kwa kila team, City wataridhila na draw kwasababu game ya round ya pili itakuwa ni kwao, so they'll aim for a draw, which kama wakipata itakuwa a killer for us. City wana tough games baada ya Anfield, so kama wakipata wanachokitaka at Anfield, focus itaongezeka zaidi, but kama wakipoteza at Anfield, then tutakuwa clear kwenye league title.

So, City game ni MUST win, i know itakuwa ni game yenye tension sana, kama ile ya msimu uliopita, but kama ninavyosema kila siku, kama tukishindwa ku-take advantage na mapungufu yao kwenye backline, then tutakuwa tumejikaanga wenyewe. hakuna wakati mzuri wa kucheza na City kama sasa, i know mood yao ipo high baada ya kushinda game ya leo, so watakuja Anfield na focus ya hali ya juu, but we've got Fabinho/VVD and the front 3, and the inform Trent, we can do this.

Win this game and the league will be 75% ours. unless itokee big **** up, Dec-feb.
Man I fancy Ox starting and get us some real hit nje ya kumi na nane where we are lacking without him more so cz Citi will be damn compact and solid sidhani kama watafunguka kirahisi unless we give them a chance to do so... They will sit back and hit us on the wings and last time we met its worked in their favor though we weren't clinical as we are...

This weekend I expect minimal or no margins for error as witnessed today.. Football is a game whereby the opponent punish you with your mistakes and I expect our heroes to be on their best...

Man it's true the race keep getting better and better and Pep is a worried man..

In terms of patience and game plan we are superb only that some players failing the others big time..

Citi will most likely come for a draw but knowing Pep he has all the time in the world to execute his plan for this game..

If he wins he know he has killed our winning spirit in way and also it's translate to other teams that Liverpool can be beaten at Home..

If he lose then we continue cementing our points and sending message we ain't beeping this time we mean business..

What's a game will be
 
Hawa jamaa wanawalaumu sana Henderson na Lalana lakini wanashindwa kutambua Wijnaldum ndio tatizo kwa sasa katika Midfield ya Liverpool,anapooza sana mpira na hajitumi jinsi inavyotakiwa.Ni muda muafaka sasa wa Liverpool kumdrop Wijnaldum na kuanza kumpanga aidha Lalana ama Ox.
Gini Hapana, The Guy ni moja kati ya watu wazuri tulionao...

Gini yuko poa sana
 
Then you should replace Klop as the maneger
not claiming to know more than Klopp or anything as he's up there managing the Football club i love, and he's getting paid millions to make sure tunashinda kila game.

but, that doesnt mean, siwez kuwa na opinion au kutokubaliana na Klopp kwa baadhi ya vitu, as itafika muda ataondoka na ataniacha na LFC, so as an ambitious fan nataka siku akiondoka aiache club katika Misingi bora na wachezaji wenye uwezo. i support LFC not individuals, but i love individuals ambao wanaipa hii club mafanikio kila siku, and Klopp ni mmoja wao but sadly Henderson siyo mmoja wao.

and, i watch footie with my own 2 eyes, na naona kuwa Henderson is not good enough, but i've never once said Klopp is/was a shit manager for picking him kwenye first XI. because ninachoangalia mimi ni ushindi tu, as my Club comes first.

but, Henderson is a SHIT FOOTBALLER.

if you think, i'm so bitter about Hendo/claiming to know more about Klopp, then hit that ignore button brother. its just footie by the way.
 
Talks of Klopp trusting his brexit MF (Hendo + Gini/Milner/Lallana).

but, i guess watu hawaoni/ku-ignore the fact kuwa Klopp always uses OX/Keita to bail him out kwenye tight games.

leo, it was OX who changed the entire game, the other day at OT, it was Keita.

but, i guess tunaweza sema ni uzuri wa kuwa na good players ambao wanaweza kubadilisha games, wakihitajika.

As a red, i understand Klopp hawezi kubadilisha his set-ups/shapes and style of play wakati TUNASHINDA, so adjusting these new players kwenye First XI will take time kidogo, some players are lucky, because Klopp aliikuta teams haina a lot of good players, hence akaamua kutafuta set up ambayo ita-balance mahitaji ya team kwa wakati husika (433), we're winning wit this set up, so it will take time kuwa-adjust Keita & OX kwenye first XI, but slowly wameshaanza kuingizwa kwenye set-up mpya.

Thats why, i'm not worried about Ox/Keita game-times, muda wao utafika & they will cement their places kwenye First XI.

Hahahha,Keita ni moja ya Usajili niliokuwa nabishana na watu, huyu jamaa nilikuwa namkubali sana (and Still) ila sijajua nini kimeipata miguu ya huyu mtu..

Hamna kitu inaniuma kama kumuona keita na Lallana kwenye form waliopo nayo kwa sasa
 
Kabla ya fabby kuwa on form nan alikuwa anacheza namba yke
So kucheza as a make-shift DM ndiyo kunakufanya kuwa complete defensive MF?

SG played as a 6 msimu wote wa 2013/14 under rodgers, so kunamfanya awe "more of a defensive MF?"

unaelewa hata maana ya "more of a defensive MF?".

for the last 8 years at LFC (except 17/18 and baadhi ya games 16/17), Hendo amecheza as a B2B. kitu gani kinakufanya useme ni "more of a defensive MF?"
 
Hawa jamaa wanawalaumu sana Henderson na Lalana lakini wanashindwa kutambua Wijnaldum ndio tatizo kwa sasa katika Midfield ya Liverpool,anapooza sana mpira na hajitumi jinsi inavyotakiwa.Ni muda muafaka sasa wa Liverpool kumdrop Wijnaldum na kuanza kumpanga aidha Lalana ama Ox.
Unahitaji miwani mzee baba! Ginni yupo vizuri tu, sema kuna siku game huwa inamkataa.

Ila ni mzuri.
 
Man I fancy Ox starting and get us some real hit nje ya kumi na nane where we are lacking without him more so cz Citi will be damn compact and solid sidhani kama watafunguka kirahisi unless we give them a chance to do so... They will sit back and hit us on the wings and last time we met its worked in their favor though we weren't clinical as we are...

This weekend I expect minimal or no margins for error as witnessed today.. Football is a game whereby the opponent punish you with your mistakes and I expect our heroes to be on their best...

Man it's true the race keep getting better and better and Pep is a worried man..

In terms of patience and game plan we are superb only that some players failing the others big time..

Citi will most likely come for a draw but knowing Pep he has all the time in the world to execute his plan for this game..

If he wins he know he has killed our winning spirit in way and also it's translate to other teams that Liverpool can be beaten at Home..

If he lose then we continue cementing our points and sending message we ain't beeping this time we mean business..

What's a game will be
I'd like Ox to start Vs City, but cant see that happening.

we'll go with ou traditional big games MF (Faby/Gini/Hendo).

Pep, will aim for a draw, but his backline is not in good shape at all, so we'll need to exploit that weakness.

its a Must win game Aisee. there should be no excuses.
 
Hahahha,Keita ni moja ya Usajili niliokuwa nabishana na watu, huyu jamaa nilikuwa namkubali sana (and Still) ila sijajua nini kimeipata miguu ya huyu mtu..

Hamna kitu inaniuma kama kumuona keita na Lallana kwenye form waliopo nayo kwa sasa
Keita ni injury ndio zilikuwa/zina msumbua. Na pia klopp hajampa muda wa kutosha kucheza. Huwa anaingia kuanzia dk za 80. Ila kwa huo muda mchache anaopewa huwa anacheza vizuri.
 
Hahahha,Keita ni moja ya Usajili niliokuwa nabishana na watu, huyu jamaa nilikuwa namkubali sana (and Still) ila sijajua nini kimeipata miguu ya huyu mtu..

Hamna kitu inaniuma kama kumuona keita na Lallana kwenye form waliopo nayo kwa sasa
Ni injuries brother.

Injuries can be a career-killer.

but, i think its too early to write him off man. he's still 24, and once majeruhi yake yaki-settle, he'll be an asset to us. injuries zenyewe na simple groins, ambazo zinaweza kuwa managed vizuri, ni kwamba yule kocha wake wa Guinea ndiyo alitibua kila kitu (nilisoma kuwa alifungiwa).

so, lets give him time, tangu amerudi majeruhi, game yake mbovu ilikuwa ni dhidi ya Arsenal, ambao alikuwa anacheza na Lallana in the middle na a lot of kids, so we cant really judge him kwenye ile game as he was good against Utd (cameo) & very good against Genk. think Klopp will start him & Ox again dhidi ya Genk kwaajili ya match fitness.

so, lets give him time, kama ulikuwa unamtetea kuwa ni very good footballer, then he wont let you down..God forbid asipate majeruhi makubwa.

i believe in talents.
 
Man it's would have been worse without having other players there who knows how to tango with this dude..
Cant even describe that feeling man.

we're so lucky to have these WC players in out team.

Looking at this team, & weak links tulizonazo kwenye F1 na jinsi tunavyo-shinda games week in-week out, nadhani we should be considered as one of the best teams kwenye history ya EPL, with or without the EPL title.
 
Hahahha,Keita ni moja ya Usajili niliokuwa nabishana na watu, huyu jamaa nilikuwa namkubali sana (and Still) ila sijajua nini kimeipata miguu ya huyu mtu..

Hamna kitu inaniuma kama kumuona keita na Lallana kwenye form waliopo nayo kwa sasa
You rate Lallana man?
 
Man I fancy Ox starting and get us some real hit nje ya kumi na nane where we are lacking without him more so cz Citi will be damn compact and solid sidhani kama watafunguka kirahisi unless we give them a chance to do so... They will sit back and hit us on the wings and last time we met its worked in their favor though we weren't clinical as we are...

This weekend I expect minimal or no margins for error as witnessed today.. Football is a game whereby the opponent punish you with your mistakes and I expect our heroes to be on their best...

Man it's true the race keep getting better and better and Pep is a worried man..

In terms of patience and game plan we are superb only that some players failing the others big time..

Citi will most likely come for a draw but knowing Pep he has all the time in the world to execute his plan for this game..

If he wins he know he has killed our winning spirit in way and also it's translate to other teams that Liverpool can be beaten at Home..

If he lose then we continue cementing our points and sending message we ain't beeping this time we mean business..

What's a game will be
You have spoken so well. This winning mentality especially at home should be protected at any cost so far, I believe it is the one that's going to bring the cup on our table. Citizens shouldnt damage that so that we may still have that charm on our side. It makes visitors shaky!
 
Uliona ile pasi ambayo tulitakiwa tushinde goli akampasia beki wa liva

Nililia !
Lol.

bado unakuwa suprised na vitu kama hivyo??

next time, uwe una-act kama hayupo kwenye first team & just hope for Faby/our fullbacks and front 3 kutupa ushindi, kama leo, ilikuwa ni our fullbacks na front 3. (Andy goal ni Mane assist, Mane goal ni Trent assist),

Thats how we roll, these days.
 
Lol.

bado unakuwa suprised na vitu kama hivyo??

next time, huwa una-act kama hayupo kwenye first team & just hope for Faby/our fullbacks and front 3 kutupa ushindi, kama leo, ilikuwa ni our fullbacks na front 3. (Andy goal ni Mane assist, Mane goal ni Trent assist),

Thats how we roll, these days.
When Faby is around, we just dont reliase how huge relief we are promised. That man is a 'storm-calmer'. He defends and still participates in attacking. He covers our dumb man there in the middle like it is nothing!
 
He's the heart of our MF.

and, its funny, because kama ukimuuliza Klopp who is his most important player right now, atakuambia ni DYSON (Fabinho).

He's everything, the main man, the Engine.
 
When Faby is around, we just dont reliase how huge relief we are promised. That man is a 'storm-calmer'. He defends and still participates in attacking. He covers our dumb man there in the middle like it is nothing!
Oi! zile makala zako kule JF intelligence huzitupii siku hizi man?

hahah! nimezimiss brother.

You're a very talented storyteller man.
 
IMG_6554.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom