Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Mane scores and assist wow this Mane guy is the real deal....i won't exchange this dude for anyone...
It's Liverpool its means more than just the word...WE FIGHT TILL THE END
wazungu wajuaji sana hata kama hawapo sahihi.OX and Origi changed everything
Hivi bado sisi tunaolalamikia upangaji wa Kikosi ndiyo hatujui kitu kweli!!!
Man we ain't EPL winners material we are lacking...Yani timu inayosaka ubingwa unachezesha Lallana?? Just Lallana!!! Haki ya Nani Klopp hata kama ana Degree 30 za ukocha kwahili namkosoa
wazungu wajuaji sana hata kama hawapo sahihi.
Kwa upangaji huu wa kikosi. Ni na hofu sana na mechi ijayo dhidi ya Man city. Kwa jinsi Ox kwa sasa anavyocheza inashangaza kuona anawekwa benchi then Lalana na Captain fake wanaanzaOX and Origi changed everything
Hivi bado sisi tunaolalamikia upangaji wa Kikosi ndiyo hatujui kitu kweli!!!





ukimwambia Klopp mambo ya presha atakujibu "pressure is for tyres!".... hahaha!!Klopp Mungu anakuona aisee...
Damn Klopp selection kept us sitting at the edge of our sit..
Yaani kweli mpira ukiwa na presha unaweza ukafa hivi hivi...
We ain't EPL material yet if this kind of play continues...
Yani timu inayosaka ubingwa unachezesha Lallana?? Just Lallana!!! Haki ya Nani Klopp hata kama ana Degree 30 za ukocha kwahili namkosoa
Jisemee wewe pekee "I" sio wengi "we"Klopp anajua kuliko yyt hapa!
Na mlio tukana team wote tumewasamehe hamjui mfanyalo
1-2 ugenini
In Klopp we trust
In Hendo we trust
Dah i am so happyYani hadi ninatoka Machozi huwezi kuamini