Yan we unaona kocha anampa nafasi Mara kwa Mara tujiulize mi nawewe inamaana kocha Hendo ni shemej yake mpaka amkubali hivyo!?...unauliza majukumu anayopewa yani mi nikwambie kocha kamwambia Hendo awe anasaidia kukaba wakati TAA akipanda wakati unaona !,unataka nikwambie Hendo kapewa jukumu la kutafuta mpra Kati isimilikiwe na adui!?...unataka nikwambie Hendo awe anatizama angle zote apatapo mpira ajue pa kuupeleka !? Unataka stats za kupiga pass ngap kama jorginho !?...unataka afunge goli ngap kama Pogba!? unataka anyimane na firmino ama backlines zinazopanda mipira awe anapeleka mbele moja kwa moja kwa Salah au mane hata Kama nafasi ya kufanya hivyo haipo!?
Au unataka kusema mafanikio ya Liverpool hayamuhusu Hendo hakuchangia kitu!?
Swala la kusema Hawa watoto wameujua mpira juzi hiyo kauli ni kwamba we unajua zaidi yao yani we ni professional coach we ni G.O.A.T kwenye mpira Jk anasubiri Yani... chillax furahi mtu akipewa nafasi akivurunda anatolewa subiri usajili uje aletwe CM wa kiwango asaidiane na faby ...la sivyo Hendo hawezi tupwa kabisa..hata iweje.Asante.