Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

PAUL SCHOLES
(In all competitions)

AT CLUB LEVEL
• Appearance 706

• Goals 150

• Assists 72

CUPS

• EPL 11

• CL 2

• FA 4

• Carabao 3

• Club World Cup 1

AT NATIONAL TEAM
(In all competitions)

• Appearance 66

• Goals 14

Nimekuletea stats za Scholes kama ulivyonihitaji, Nikikutaka ulete stats za Henderson isije ikawa ugomvi ndugu.

Sasa lete wewe za kwako hizo za Henderson tulinganishe hapa.

Mkuu apa ndo unakosea
Hawa ni watu wawili tofaut
Hendo is more of a defensive midfielder while Scholes is more of ana attacking midfielder no matter what formation or to what position you put them in
Ndo maana kabla Fabinho hajazoea ligi na miguu haijakaa sawa uwanjan namba yake akawa anacheza hendo
Mfananishe Ox na scholes, Hendo mfananishe na micheal Carick
 
atleast naona OX ni more competitive kuliko lallana na Keita, hawa watu wanajua kuchezea mpira ila ni wanacheza kama wadada sometimes
 
Liverpool halis gonga mezaaa

In klop we trust kwa kweli. Jamaa amekuwa Kama babu fergie mida ya wanga Ndó anachukua zake ushind anatambaa
 
Yani timu inayosaka ubingwa unachezesha Lallana?? Just Lallana!!! Haki ya Nani Klopp hata kama ana Degree 30 za ukocha kwahili namkosoa

Sema huyu jamaa majeruhi yalimuumiza sana yakamuuwa kiwango
Enz za coutinho alikuwa mtu wa nne kwenye selection list
 
let's go 9 points clear at the top in our next game, which at Anfield am sure we can!

Itakuwa tough sana, wote watapata pressure sana, ila ataeongoza kushinda ndo atatuliza moyo kidogo
Though sisi ndo tutakuwa wakati mgumu
 
atleast naona OX ni more competitive kuliko lallana na Keita, hawa watu wanajua kuchezea mpira ila ni wanacheza kama wadada sometimes

Oxy ni more of an attacking minded, akipata mpira ni speed golin
Lallana ni more of a settled player, akipata mpira anaweza akaharibu counter attack sometimes
Keita ni more of a passer
 
Sema huyu jamaa majeruhi yalimuumiza sana yakamuuwa kiwango
Enz za coutinho alikuwa mtu wa nne kwenye selection list
Yes lallana ana work rate nzuri sana sema majeruhi tu ndo yamemponza. Na leo hajafanya kibaya kacheza vizuri. Nadhani second half villa walikuwa na shot on target moja tu. Alihold vizuri na Kloop analijua hilo na ndio maana anamuweka pale.
Lallana kipindi kloop kaja alikuwa namba moja kichwani kwake..kwanza yuko felxible anagusa kote vyenga anavyo labda long pass kama za fabinho ndo anakosa.
 
Oxy ni more of an attacking minded, akipata mpira ni speed golin
Lallana ni more of a settled player, akipata mpira anaweza akaharibu counter attack sometimes
Keita ni more of a passer
Kwangu naona Keita akacheze na akina Jones, ni mzuri ila daah...

Afadhali lallana
 
Unacheza na Aston Villa unapata tabu hivi? Tazama Captain America anafanya nini ukooo

Kila la kheri Chelsea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom